Jamani E-mail yangu Msaada

kivato

Member
Nov 20, 2010
18
2
Wataalamu,
E-mail yangu ya yahoo imekuwa compromised, na ina information na data zangu za muhimu sana, siwezi kuiaccess tena. naombeni msaada wenu jamani
 
nenda mail.yahoo.com click kwenye I can't access my account.
 
Nimefanya yote kama mlivyonielekeza, ila zile security questions na alternative email nimezisahau kwani nilifunguliwa na mtu toka 2004.
anyone with more alternative to restore my email account, it is very important to me, thank you in advance.
 
Hakuna la ziada zaidi ya hilo, fungua nyingine badilisha email kwenye service zengine ambazo ulijiandikisha na hiyo email, badili password zako, wataarifu watu kuwa email imeibiwa.
 
Nimefanya yote kama mlivyonielekeza, ila zile security questions na alternative email nimezisahau kwani nilifunguliwa na mtu toka 2004.
anyone with more alternative to restore my email account, it is very important to me, thank you in advance.

kwa namna hii hata yahoo wenyewe si watakuona na wewe ni mwizi?...security question hukumbuki...na majibu yake hukumbuki...!!then what...fungua mpya hakuna msaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom