Jamani, Diwani huyu vipi, Machangu wapewe Leseni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani, Diwani huyu vipi, Machangu wapewe Leseni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tikerra, Sep 13, 2008.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Usipo ona ya Musa utaona ya firauni.Nilishasema,na narudia tena,watanzania tumekwisha, maana tumeshapoteza uwezo wa kujua mema na mabaya kabisa.Ni Diwani,tena aliyechaguliwa na watu,ili awaletee maendelea yao,halafu anakurupuka na kusema machangudoa wapewe leseni kwa vile wataliingizia taifa mapato. Anashindwa hata kujua kwamba hela za machangudoa ni hela chafu, kama zilivyo hela za mafisadi tunaowapigia kelele leo kwa nguvu zetu zote.Diwani anayeshindwa kujua kwamba umalaya ni uwovu mbaya sana katika jamii,ambao kama haukudhibitiwa unaiingiza jamii husika katika laana isiyozungumzika.Hao ndio viongozi tulio nao, mbumbu,wenye mawazo yaliyofirisika.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tunaomba utupatie habari kamili ili tufaidike. Mathalan,

  >> Diwani wa wapi
  >> Jina lake
  >> Chama chake
  >> Aliyoyasema ameyasema wapi (mathalan kijiweni, ktk mkutano wa hadhara n.k)

  Shukran
   
 3. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,552
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli.
   
 4. S

  Sumu JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2015
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa una-Search nini hadi ukaufukua uzi wa mwaka 2008 unaohusu machangudoa mkuu barakuda?

  Au "chupa" imejaa?!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. S

  Sumu JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2015
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2008 mtu alikuwa analeta uzi mwepesi namna hii.

  Kumbe kipindi hiki tunavyowalalamikia BAVICHA na "viroba" vyao tunawaonea!
   
 6. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,552
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  hii itakuwa inamhusu jerrly slaha.
   
Loading...