Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Yaani hapa mtaani yupo huyu dada ambaye Mola kampendelea kihaswa yaani kwa kila kitu ambacho kijidume cha kileo angependa GF wake au hata mwandani wa maisha awe nacho...................
Lakini kweli hakuna kizuri kisicho na kasoro....................Yaani lolote vijana wakimwambia yeye akubaliana nao...............na hupenda kuwachapa kalenda huku akijua kabisa utekelezaji wake utakuwa ni sifuri.....................Vijana husubiri kwa hamu kila mtu kwa wakati wake bila ya kujijua kumbe kawapanga kwenye mstari wa subira.................kama walivyokubaliana naye lakini utekelezaji wake hakuna.........Wakimwuliza ni mwepesi wa kuwachapa kalenda nyingine na matokeo ni yale yale tu.......
Hapa mtaani vijana bahati nzuri huwa wanakaa hapa kijiweni wakitafakari makali ya maisha............bila ya kujijua wamepitia suluba na kwata huyu dada wa shoka anazowatupia kimyakimya..............na sasa wanashangaa kumbe wako wengi kwenye hili dholuba la huyu mwanadada ambaye uzuri wake washahibiana na mwanasesere aliyepikwa akapikika..................................................
Vijana wamemwekea mkakati wa kumaliza hizi suluba kwa hiyo kwa wale wanaomfahamu msiache kumtonya akwepe hii mitego.........................mimi ni mzee sasa siwezi kuingilia haya ya kizazi kipya....................kwa hiyo nafunga domo langu.........kwake.............ingawaje haachi kunitupia shikamoo za hapa na pale...........binti huyu maridadi sana......................