Jamani CUF, TLP, UDP, CCK WAMEFANYA NINI 2012 na WAFANYE nini 2013

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
135
Wana bodi zidumu fikra huru
Hivi vyama mwaka 2012 navyo vimeendesha siasa Naomba tukumbushane waliyofanya tutoe tadhimini Mitazamo na kutoa ushauri kwa 2013
Tukiwa kama wana Jf wapenzi wa jukwaa la Siasa
 
Waache siasa wabaki kuwa wapiga kura tu maana sioni mchango wao japokuwa tupo kwenye siasa ya mfumo wa vyama vingi, hawajulikani wanafanya siasa au wanatafuta tu hela ya kujikimu kimaisha, 'ruzuku ndiyo inayosababisha haya yote'
 
Wana bodi zidumu fikra huru
Hivi vyama mwaka 2012 navyo vimeendesha siasa Naomba tukumbushane waliyofanya tutoe tadhimini Mitazamo na kutoa ushauri kwa 2013
Tukiwa kama wana Jf wapenzi wa jukwaa la Siasa
Ama kweli unakazi leo ina maana huna kazi ya kufanya leo? acha uzembe wewe,umepost thread kama 4 oooh!mara ccm imefanya nini !oooh!mara CUF,NCCR MAGEUZI,CHADEMA,aaaaaaaah!watu wengine bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:typing::typing::typing::typing::clock::clock::clock::clock:
 
Kipimo we si mzembe una kaz na wala si mvivu nikupost 1 thread.
We mzima kiakili kweli post 4 zinaweza kufanya umwone mwingine mzembe, hana kazi mvivu wakati ukiandika ubongo ulichanganyika na mawazo kweli ulitaka ngapi utuone wachapakazi sio wazembe
ushauri sio lazima ureply unaweza soma tu kama huna hoja au ukaosha vyombo au kukojoa na kulala kushindwa kwako unadhani wengine wako hivyo
heri kukaa kimya kuliko kuandika ukadhihirisha upeo wako ni wakuungaunga
 
Wana bodi zidumu fikra huru
Hivi vyama mwaka 2012 navyo vimeendesha siasa Naomba tukumbushane waliyofanya tutoe tadhimini Mitazamo na kutoa ushauri kwa 2013
Tukiwa kama wana Jf wapenzi wa jukwaa la Siasa
Muulize John Tendwa
 
Back
Top Bottom