Jamani brela wanaboa

kifaru 1

Member
Oct 21, 2013
28
4
Unapeleka nyaraka zinakaguliwa unazndikiwa ukalipie bank ! Baada ya kulipia na kukata risiti unapeleka nyaraka na hapo ndo utakoma maana utaambiwa njoo baadaya siku saba ukienda utaambiea kesho kutwa hapo utazunhushwa hata mwezi then unarudishiwa nyaraka zako eti umekosea kaanze upya ! Jirekebisheni ama tuwataje humu!
 
Hao ndo BRELA bhana,
Ni kitega uchumi cha watu, nimeandikisha jina la biashara naambiwa nitoe Tsh 30,000/= ili nishughulikiwe haraka. Unaongea na mtu yeyeto mwenye kitambulisho au wale walinzi wao GEMA security. Au kuna mtu anaitwa Teacher unapata certificate baada ya siku mbili.

Lyandembela1

Nawasilisha
 
Yaani hao sijui kwanini hawajiongezi haswa kiteknolojia ni majanga matupu.. mtu ukiwa unajua ya teknolojia unasikitika sana kuona waliyonayo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom