Jamani bodi ya mikopo toeni majina;watu kujua hatima yao mapema ni jambo muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani bodi ya mikopo toeni majina;watu kujua hatima yao mapema ni jambo muhimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Salary Slip, Sep 6, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,974
  Likes Received: 37,560
  Trophy Points: 280
  Hawa watu wa bodi ya mikopo ni watu wasiojua umuhimu wa kutoa taarifa zao mapema kwa wahusika.Hata kama kuna waliofanya makosa isiwe sababu ya kuchelewesha kutoa majina.TCU wameongeza muda mpaka tfh 07/09/2012,sasa ina maana hawa bodi wataendelea kusubiri kisa kuna makosa yamefanyika?Deadline nyingi za TCU na HELSB zimeshapita lakini hawa bodi hakuna kinachoendelea kuhusu kutangaza majina.Mbona TCU wao wametoa selection zao kwa wale ambao hawakuwa na matatizo?Sasa kwa nyinyi bodi ya mikopo mnashindwa nini?

  Najiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa kuanza kufanya maombi ya mkopo mapema kama mpaka leo mmeshindwa kuwajulisha waombaji ni kiasi gani watarajie kupata kutoka bodi?Nani asiyejua ugumu wa kutafuta na kupata fedha?Muda uliobaki kwa vyuo vingi kabla ya kufunguliwa ni chini ya mwezi mmoja ila nyinyi mnakuwa kama hamlioni jambo hili!

  Jamani kujali muda ni jambo la msingi sana, kwani litaepusha matatizo mengi kwa wanafunzi walioomba mkopo.
   
 2. Jemsi

  Jemsi Senior Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu bodi ya mkopo ipo sawa kwasababu wao wanapewa bajeti nzima ya mkopo kila mwaka so lazima majina yakamilike ndio waanze kuchambua wasio jiweza kwanza ndio wengine wafuate,wakigawa kabla ya kupewa majina yote na tcu,wanaweza wakawaacha watu wenye uwezo wa chini kabisa....ila la kulaumu ni ma IT wa tcu hawapo care na muda kabisa,hawajui watu wanaenda chuo mwezi huu,nachohofia ni kwamba hata wakitoa majina ya mkopo hizo pesa si zitatumwa disemba?
   
 3. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,974
  Likes Received: 37,560
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekuelewa ila kwakweli hii ina kera sana.Hii hatua ya TCU kuongeza muda mpaka trh 7 mwezi huu ni matokea ya either system yao kuwa mbovu au tatizo linaweza kuwa ni watu wa IT hapo TCU.
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hivi hiyo tarehe 7 si kesho ama??..tulieni bhana kama kitu kipo kipo tu....mbona mwaka jana yalitoka kipindi hichihichi na watu wakaenda chuo hamna kilicho haribika...
   
 5. Victor Kisanga

  Victor Kisanga Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwaka jana kufikia tar 1 sept mambo yalikuwa tayari sasa nashangaa mwaka huu. Au wa shetwan nini?
   
 6. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kabisa Victor.!
   
 7. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Nakushauri ujiandae pesa za kulipia ada chuo kama vile mkopo utapata 0% ili bodi wakikukumbuka iwe sehemu ya kukupunguzia mzigo mkubwa uliojiandaa kuubeba. Vinginevyo hutapata muda wa kujiandaa baada ya bodi kutema
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kuna jamaa yangu namuamini sana kasha nambia kalamba % ngapi so it means kua tayari wamesha allocate loans na hatujui wanasubiri nini ku publish
   
 9. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,735
  Trophy Points: 280
  Priority or Non?
   
 10. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  vp wewe? Jamaa hajakutonya umelamba % ngapi
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  non mkuu! na kapiga private kuanzia chekechea
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ndo kanambia leo asubuhi, yeye kapewa info na mazake, ila saiv mazake
   
 13. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hapa ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi...kamwe hata cheza,saut wana report tarehe 14/9 sasa sijui hapo inakuaje!! mtu unafika chuo unaambiwa loan status yako ni NIL!!! inashangaza ila ndo bongoland hii...tungoje naiman bado mda mfupi...
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  7days it's not muda mfupi ni much much mfupi hebu nambie mtu unakula NIL and chuo unatakiwa kuripot 14/09 na hela ndo hivyo tena ni katikati ya mwezi! aisee unaweza practice UJAMBAZI
   
 15. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,735
  Trophy Points: 280
  Heh hongera zake
   
 16. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  inaonekana watu wengi tuta lamba kitu, tuzidi omba mungu
   
 17. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  vp alikuwa science and kalamba ngapi? Aisee
   
 18. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  bora ujambaz mkuu...vp kuhusu dada zetu??? watakua majambazi?? ni aibu....
   
 19. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  daah hapo naona wataongeza rate ya VVU vyuoni
   
 20. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  alipiga ART na alisoma private since kindergarten na kalamba 100%, sijui ndo kama ile ya mke wa mtoto wa baba maana jamaa kwao kunatisha
   
Loading...