Jamani bodi ya mikopo mtuangalie kwa jicho lenye huruma watoto wa wakulima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani bodi ya mikopo mtuangalie kwa jicho lenye huruma watoto wa wakulima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NIMEKIMBIA CCM, Oct 21, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajf wenzangu,hv hawa bodi ya mkopo mbona wanakosa utu,yani mm mwenzenu nimemaliza 4m6 na nilisajiliwa kwa njia ya nacte(nlsoma pre-entry)nachukua civil engneer,but mpaka leo bodi ya mkopo wanatuyeyusha na tushaamza kusoma ada cjalipa 2mepewa wk mbl 2we 2shalpa alafu chakula cha shda,wanadai eti bajet imekwisha jaman naomba vija 2ishinikize jaman bodi ya mikopo ituangalie cc walala hoi.JAMAN NIMECKITIKA KWANI NAHSI Hk n kihama cha elimu yangu,naomba mnisaidie kimawazo,
   
 2. KANUTI SILAYO

  KANUTI SILAYO Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mambo yatabadilika pale sote tutakapo mtoa madarakani mkoloni mweusi na kuandika historia mpya ya mtanzania
  chakufanya tuwape elimu ya ukombozi walio vijijini na majimbo ya pwani na kusini mwa tanzania
   
 3. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hilo lako pia afadhali mi mdogo wangu anaingia mwaka wa pili. mwaka wa mwanzo alikuwa akipata 50% mwaka wa pili wameondolewa katika orodha. si balaa hili.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Bora kutawaliwa na mtu mweupe kuliko kutawaliwa na mtu mweuc..
   
Loading...