Jamani biashara ya kuosha magari na machine tamu jamani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani biashara ya kuosha magari na machine tamu jamani!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 3, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280
  Duh
  nasemaga huu u capital sijui nani aliluleta duniani ...niko naosha gari sehemu nimekaa kama masaa mawili
  nakula supu pemben hapa sinza nimeona mama mmoja wa kichaga hapa pemben ya hongera ameshaosha gari zaidi ya 20 hii ni masaa machache niliopo na akila gari ni buku kumi yaani 10,000

  nimewiwa kukujulisha mwenzangu kama una sehemu nzuri ya biashara na una kile kitu ka kepital ndugu yangu hhaaka kabiashara kanalipa na sidhan kama kanaitaji tra..yaani tumepaki pembeni tumezagaa kama tunazika msibani kinondoni kumbe unasubiri mwenzio atoke

  wajasiriamali wa jf pambaneni jamani wakati weni huu baycort iko kwa ajili yenu
  naihisi bado wanakopesha awa jamaa
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Unamjua RIZ moja?, anzisha kaaa woshi jijini, kama humjui ndo utamjua
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  kumbe Riz zero amemonopilize biashara ya car wash jijini?
   
 4. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 80
  Hivi waziri wa biashara ni nani, au wa Mazingira, au Tawala za mikoa. Naomba namba ya simu ya mmoja wao nimshauri apige marufuku biashara za kuosha magari kwenye curbs. Ukiingia restaurant kidogo tu ukirudi unakuta huwezi kukanyaga ardhi kufika kwenye gari, mimaji imetanda kila mahali. Wanafanya biashara bila leseni, bila kodi wala usajili, wanaharibu mazingira, wanavuruga mipango miji ya jiji, wanaiba vitu, esp ukikataa kuoshewa. Serikali iko wapi?
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280

  kilimanjaro stars 1 zimbabwe 0
  kili outt bigup sengerai
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280
  kodi yako imekusaidia nini wewe???
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Natafuta ajira jamani wapi nitapata
   
 8. N

  Ndole JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Njoo kwangu
   
 9. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 80
  Ahsante.

  Mimi kulipishwa kodi halafu mwingine halipishwi inaniumiza kwa sababu mzigo wa kodi unakuwa mkubwa zaidi.
  Tax base ya Tanzania (yani asilimia ya wananchi wanaolipa kodi) ni ndogo mno kwa hiyo kodi na tariffs mbali mbali zinakuwa kubwa. Tunaolipishwa kodi ni wale tulio kwenye uchumi rasmi tu, tunabeba mzigo wa wengine.

  Waosha magari ovyo ovyo ambao hawasajili, hawalipi kodi, hawana leseni, wanatuumiza tunaowalipia. Wanachafua mazingira, mimaji kila mahali, wanaharibu mipango miji. Wapigwe marufuku.

   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nyumba inauzwa Manzese kwa mfunga mbwa bei milioni 700
   
 11. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,189
  Likes Received: 1,907
  Trophy Points: 280
  inapunguza vibaka!
   
 12. Come27

  Come27 JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2016
  Joined: Dec 1, 2012
  Messages: 3,136
  Likes Received: 1,945
  Trophy Points: 280
  Nyumba inauzwa Manzese kwa mfunga mbwa bei milioni 700

  Balaa la kununua nyumba, sehemu yenye vibaka litakufanya uichukie iyo nyumba
   
Loading...