HAZOLE
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,551
- 708
habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??