Jamani baa maid huyu....!!!

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
 
Yaani Hazole bana! Yaaani wewe siku zoote hizi umekula nae raha alafu saizi sababu kataja ndoa katika maongezi ndo unashtuka?? Acha hizo bana... Sio sababu ni Barmaid ukafikiri kua roho yake ni tofauti na mwanamke yeyote wa kawaida... Deep down she is just a woman....
 
hakuwindi! pengine wewe ndo upo mawindoni ila hujajua kama upo serious unataka kuwinda! si unajua mbwa akimuona chatu huwa anakuwa mpole na anamfuata hadi anamezwa?
 
ni kosa barmaid kupenda? nadhani ishara anazozionyesha angezifanya mathalani mdada wa ofisini isingekuwa big deal hata kuileta JF?

kwa sababu wengine ni wahuni unaona ni wote, mbona barmaid wengi tu wapo na ndoa zao

acha kuwachukulia poa
 
Barmaid ni mwanamke, ana roho na mapenzi kama wanawake wengine.. Barmaid ni kazi kama kazi nyingine. Kama mnapendana na tabia yake ni njema ..siyo issue!
 
Nina ndugu yangu alioa barmaid...its four years now and their marriage is steady...
 
Inategemea na status yako kwa jamii..kama huyo baamaid ni wa leve yako..then mwoe!
 
habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??

Ni PM nijaribu bahati yangu, hao mamaid ni waelewa sana wa maisha, Siku ukimuweka ndani halafu ukimwambia mpenzi wangu leo sina kitu ni watu wa kuelewa sio kama wengine wasiojua hela ni ngumu kupatikana.
 
Yaani Hazole bana! Yaaani wewe siku zoote hizi umekula nae raha alafu saizi sababu kataja ndoa katika maongezi ndo unashtuka?? Acha hizo bana... Sio sababu ni Barmaid ukafikiri kua roho yake ni tofauti na mwanamke yeyote wa kawaida... Deep down she is just a woman....
teh teh teh... ashadii bwana acha fujo. sijamla..... napenda utani sana. raha ya bar ni kutaniana na kucheka....mambo ya kukaa kimya unajishindilia mibia unazidi kujipa mapresha. so, binti ni just a friend
 
hakuwindi! pengine wewe ndo upo mawindoni ila hujajua kama upo serious unataka kuwinda! si unajua mbwa akimuona chatu huwa anakuwa mpole na anamfuata hadi anamezwa?

kinyoba wewe....maneno huumba baba. tena leo jmosi kitambaa cheupe king kikii....
 
Huyo ni mchezaji mzoefu. Amepitia mitihani mingi. Ana haki ya kupenda na haki ya kupendwa. Watu wengi wanaamini kuwa barmedi hawana mapenzi ya kweli. Wana moyo kama watu wengine. Hii thread inaonyesha descrimination.
 
habari wana jf,<br />
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
Baamed nikama enjinia,mkurugenzi,na vinginevyo kama hivho ila sema ni mgawanyo wa maisha hivyo ukiuoa anaweza akawajibika kama mamawanyumbani kuliko hata ungeoa mkurugenzi.
 
sure. ni kazuri. tunachoogopa ni kwama wanatupiwa sana macho na njemba kibao.....
 
habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...
Kama kweli unampenda na utammwoa basi fanya hima ufanye hivyo, sababu kwanini anafikiri hivyo lazima kuna jambo ulilofanya hadi likapelekea afikilie hivyo..., kama hutaki kufanya hivyo ni bora kumuambia ukweli kuliko kumpotezea muda wake...

sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??

Mkuu hapo ni mawili kama unataka kumfaya awe mke wako basi fanya hivyo lakini kama hutaki kufanya hivyo ni bora ukabadilisha kijiwe sababu ukimfanya akafukuzwa kazi utakuwa humtendei haki.., au ni vema ukamwambia akiwa kazini afanye kazi na muda wa kuongea na kukaa na wewe ni pale akiwa off.
 
sure. ni kazuri. tunachoogopa ni kwama wanatupiwa sana macho na njemba kibao.....

kwani hao wamaofisini wanamendewa na wangapi? Mbona ni wengi tu wanaowavizia! We unadhani wanaofanya kazi ya ubamedi ndo wote akili zao zimefyatuka? Ni mihangaiko tu ya maisha ati!
 
Yaani Hazole bana! Yaaani wewe siku zoote hizi umekula nae raha alafu saizi sababu kataja ndoa katika maongezi ndo unashtuka?? Acha hizo bana... Sio sababu ni Barmaid ukafikiri kua roho yake ni tofauti na mwanamke yeyote wa kawaida... Deep down she is just a woman....
<br

Well said Bi Asha!Tusimthamini mtu kwa taaluma yake bali tumthamini kwa utu wake.
 
punguza kwenda kwenye hiyo bar na muwe mnakutana sehemu nyingine baada ya kazi.Kama huna mpango nae mwambie u asije akawa ana matarajio.Kazi ni kazi tu ili mradi mkono unaenda mdomoni,hapo ni moyo na heshima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom