jamani anayesumbuliwa na mwenza wake ninauza dawa hii hapa

je,unayo ya size mkuu?

ipo ya size kama hii zingine amechukua C6
images
 
Last edited by a moderator:
wadau hebu mumuulize mbona kwake yalimshinda kuapply hiyo dawa?????

Wakati nakufukuzia tayari nilikua nimesha mpatia dawa C6 ,hivyo nilikua nafanya jaribio kama kweli utamuacha C6 na kuja kwangu?ulipokua ngagali nikajua dawa inafanya kazi,ndipo nikaamuua kuingiza sokoni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom