mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
ni muda mrefu sasa tangu nilipoanza kumwambia tutoke wote,lakini amekuwa akinizungusha zungusha akileta sababu nyingi ambazo mimi najua ni uwongo tu na hakuna lolote,jamani hivi kama mpenzi anakataa kutoka na wewe,ujue nini hapo,halafu ufanye nini eti,nisaidieni jamani nahisi kama kumwacha vile.