jamani alikiba

Omtata

Member
Nov 18, 2010
49
5
kunatetesi kuwa alikiba amepata ajali mikumi morogoro.
kama kuna mtu anahabari kamili naomba atusaidie
 
Hili ni jukwaa la siasa mkuu.
Anyway hiyo habari ipo kule kwenye jukwaa la Celebrities.
 
kuna umuhimu wa Mods kuwapa watu tutorials za kutumia hili jukwaa na iwe lazima
 
Hili ni jukwaa la siasa mkuu.
Anyway hiyo habari ipo kule kwenye jukwaa la Celebrities.

@Ndibalema, point of correction...... hili si jukwaa la siasa bali ni la 'habari mchanganyiko' kwahiyo hata hiyo ya Ali Kiba yaweza kuwepo humu pia....
 
habari mchanganyiko ina maana ya 'any other' ama 'unclassified news' . sasa issues ambazo zina majukwaa yake zikiletwa kuchanganyana humu itakuwa disoragnisation of the disorganised. hata mapenzi yakiletwa humu itakuwa mispalcement ilhali ni mchanganyo.
@Ndibalema, point of correction...... hili si jukwaa la siasa bali ni la 'habari mchanganyiko' kwahiyo hata hiyo ya Ali Kiba yaweza kuwepo humu pia....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom