Jamani Ailyewahi Kufanya Tendo Hili,Akiri Hapa Kwa Faida Yake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Ailyewahi Kufanya Tendo Hili,Akiri Hapa Kwa Faida Yake!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by trachomatis, Mar 24, 2012.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  KUUA BINADAMU MWENZAKE!

  Jamani mwajua kwamba huwa tunasamehewa tunapoomba msamaha.. Na mara nyingine tunaowaomba msamaha wakashindwa kutusamehe..

  Ama kutokana na mazingira ya kosa lenyewe,kukosa nafasi ya kuomba msamaha huo kwa tuliowakosea...

  Nachukua nafasi hii hasa kwa wale waliowahi kutoa roho za wenzao,iwe kwa njia ya GARI,SUMU,KISU,RISASI,KAMBA,MIKONO(kukaba),na njia nyinginezo... kukiri kwa maneno mafupi,na kuomba radhi,nasi roho zilizopo JF tutasemeheana nanyi kubaki na amani ya kudumu!

  i.Haijalishi kazi yenu,kama ni Nyonganyonga,TISS,Mwanajeshi,Askari Polisi,n.k

  ii.Au ulifanya kwa kuwa ulitumwa na wakubwa wako kikazi,au iliwahi kuwa kazi yako kufanya mauaji kwa kujipatia kipato,n.k.

  iii.Pengine ulipata kufanya kitendo hicho kwa bahati mbaya,ama hata utotoni..

  iv.Huenda ulistukiwa na ukawa convicted,ukahukumiwa kabisa,lakini unajua kuhukumiwa huko hakukuweza kurudisha uhai ule ulioupoteza...

  v.Huenda hukustukiwa kabisa kutokana na mazingira uliyokuwa umeyaandaa..

  vi.Huenda ulitoka dismiss,lakini unajua kabisa haikuwa halali yako..

  vii.Huenda hukuua mwenyewe "in person",nawe unahusika kwenye uzi huu..

  viii.Huenda uliua kwa minajili ya kupata utajiri(ushirikina),nawe unahusika..

  Chukua nafasi hii kipekee kukiri na kuomba radhi kwa wanaJF wenzako,wanaowakilisha roho nyingine zilizobaki hapa duniani..
  Nasi kwa njia tofauti tutasympathize na kuomba M/Mungu asikuhesabie kosa hilo..
  Nawe utakuwa na amani ya moyo...

  Karibu..
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Atakayekuwa wa kwanza,who knows..

  Inaweza kumtokea mujiza gani,ama changes gani katika maisha yake...

  Karibuni..
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Tulishawahi kuua paka, huenda alikuwa ni mtu. Manake nasikia kuna watu wenye uwezo wa kujigeuza paka..
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  TANMO bana..

  Haya basi omba radhi usameheke..
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  aisee cha moto alikipata, manake tulimpiga mawe halafu tukamwagia mafuta ya taa kisha tukampiga kiberiti. Almanusura achome banda la majani ya ng'ombe.
  kwa heshima na taadhima naomba kufutiwa dhambi zangu.
   
 6. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mi nimekusamehe kwa niaba ya familia yake... Watakuja wana JF wengine kukusamehe pia...

  Jamani mwinginee..
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Jamani karibuni...

  Hata ma-moderators,nanyi pia mnahusika hapa...

  Huenda baadhi ya watu hasira zinawazidi,wakati mwingine,siri ya mauaji waliyowahi kuyafanya,ndiyo yanaysababisha..

  Hata kama utalazimika kubadili ID yako temporary kwa ajili hii,unakaribishwa tu..
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  na kutoa mimba ungeiongeza hapa!

  Ila umekuwaje ukaleta uzi huu? Wewe ni TISS?
   
 9. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wanaume wote wanaochuja naniliu...! kwenye ndom ni wauhaji namba moja na kila siku wanazichuja sijui watakuwa wanakiri daily..?
  Namba mbili ni wadada wote wanaozichomoa mimba nao wamo katika mkumbo huo, then wanafuatia hao aliowataja mleta mada.

   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Basi hapa itahusika duniz nzima, then haina haja hata ya kukiri.

   
 11. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Habari ndio hiyo konny..!
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Konnie bana..

  Nililiona hilo ila hilo lingekuwepo,tungeenda mbali zaidi,hadi wapiga punyeto nao wasingeachwa,n.k.
  Kwa hiyo mimba hapana,ila kama angelikuwa ni mtoto mchanga aliyeuwawa,huu uzi unamhusu muuaji!

  Mi si TISS,makusudio ya uzi nimeyaandika vizuri hapo juu,ndiyo maana nikaona iwepo "ruksa" ya kufungua ID mpya chapchap na kukiri uuaji wake..

  Kifupi hata kama kuna mtu wa TISS humu JF,na aliwahi kutoa uhai wa mtu,naye uzi huu unamhusu..
  Nadhani umenielewa Konnie..
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Naona unapata majibu.. Ila nikiongelea "kutoa uhai" naomba unielewe.. Kuna watu wanaishi huku wakiwa "haunted kila siku..

  Ni tofauti na kumwaga nje manii,au kutoa ki-zygote..
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nimemwelewesha Konnie..

  Cheki hapo juu Michael..
   
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu, umewasahau walioua kwa kutoa mimba.
   
 16. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani nimechekaaaa kwa sauti kuna dada mswahili yuko na mzungu wake hapa kanishangaaa mpaka naona aibuuu! Kongosho hufaiiiiii......asije akaona nataka attention ya mdhungu lol kumbe JF inanifurahishaaa
   
 17. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hao nimewaexclude kwa sababu nilizomjibu Konnie hapo juu mkuu.... Ila walioua vichanga.. Wanahusika humu!
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mungu?
   
 19. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kiukweli Mama Tuli,Konnie nimembrand kuwa "JF Best Entertainer"
   
 20. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Husninyo mimi si mungu..

  Ukisoma vizuri,utanielewa..labda unaona maelezo ni marefu..

  Lengo ni kuwapumulisha pumzi ya amani waliowahi kutoa uhai wa mtu.. Na roho zilizotolewa ni roho za binadamu wenzetu..

  Sasa sisi tuliobaki tunakuwa tayari kushare experience hiyo mbaya,na kisha kuwasamehe kwa niaba ya roho zilizopotezwa nao,kwa niaba ya familia zilizopotelewa na ndugu zao..
   
Loading...