Jamani acheni kujikausha, leo ni sikukuu

Mkuu mtura ndo habari ya hapa , kwa mloo huu huli adi kesho mchana

Ha ha ha ha ,napakubali sana hapo..chocho flani hivi amazing!! Hivi bado pana pooltable kwa nje hapo maana karibia mwaka sasa sijakanyaga hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom