Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..
Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha.
Halafu mara kwa mara unawasikia akina Al Bashir na Humphrey Polepole kila mara wakitaja kuwa Ushindi wa Magufuli katika Uchaguzi huu Utakuwa ni kwa zaidi ya Asilimia 80%, unajiuliza kivipi? Maana ni Kinyume kabisa na Run ya mchezo. Kampeni za Mgombea wa CCM zimekuwa na Organisation ya hovyo kuwahi kutokea na Mgombea mwenyewe amekuwa akitembea na highways tu bila kuwafikia Wapiga kura wa maeneo ya pembezoni, Then anafanya Kampeni siku 2 na kupumzika Wiki...anadhalilisha Wapiga kura, halaf Unaambiwa Atashinda 80%, how?
Halafu Fast foward enters Jamana Printers...
Welcome to Jamana Printers Official Website, Number One Printing Solution in Tanzania, Book Printing, Flexo Printing, Catalog Printing, Textbook Printing, Binding & Finishing, Packaging - Jamana Printers
hapa ndo possibly zilipo codes za Wapiga kura mil.29 wa Tume na Asilimia 84% za "Ushindi" wa Madaraja zinazoimbwa kila leo na akina Humphrey Polepole, Al Bashir, REDET (soon), Nape Nnauye na wengineo.
Kama Ndivyo hivyo, namwelewa Lissu anaposema nchi hii haitabaki Vile vile tena baada ya Uchaguzi huu, So Much is At stake.