Jaman wanajamvini hivi katika ripoti zote za mafisadi kuna iliyo mtaja Lowassa

Small Axe

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
652
500
IPO, ile iliyosomwa na CDM mwembeyanga.
Lkn jua kua Waliitoa kwa wana ccm wakadhihilisha wakina Mwakyembe..and wengineo kumbe sababu ilikua ni Uwaziri mkuu..kwasababu maamuzi yote yalitoka juu..
 
Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,565
2,000
Report halali ya mwembe yanga inamtambua lowassa kama PELE wa ufisadi Tanzania
Report ya Richmond inamtambua lowassa kama gwiji la ufisadi Tanzania,
Report ya maendeleo ya jamii maji Na malazi Bora inamtambua lowassa kama Icon ya ufisadi Tanzania,

Report ya makazi Na majenzi inaonesha lowassa kama Nguli wa ufisadi Tanzania,

Unataka report gani?
 
MAGUNJA

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
1,006
1,500

Shame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,832
2,000
Sijasikia wala kuona hata kusoma popote ripoti za mafisadi imemtaja lowassa maana huyu mtu amekua mtaji(reference) mkubwa sana kwa wanasiasa wanaposema habari za ufisadi ndani na nje ya vyama vyote katika kutafuta uongozi

mkuu njoo uwajibu wadau huku, eti wanasema CDM wanayo na waliisoma mwembe Yanga, una taarifa?
 
major mwendwa

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,288
2,000
Lowassa hajawahi kushiriki wala kujihusisha na sekta ya madini, na hadi sasa Mh.Rais ameunda kamati za sekta ya madini tu
 
fidel castro wapili

JF-Expert Member
Mar 18, 2017
1,672
2,000
Report halali ya mwembe yanga inamtambua lowassa kama PELE wa ufisadi Tanzania
Report ya Richmond inamtambua lowassa kama gwiji la ufisadi Tanzania,
Report ya maendeleo ya jamii maji Na malazi Bora inamtambua lowassa kama Icon ya ufisadi Tanzania,

Report ya makazi Na majenzi inaonesha lowassa kama Nguli wa ufisadi Tanzania,

Unataka report gani?
Hizo Report zinatosha kuthibitisha huyo ni fisadi. Isipokuwa ana kinga ya uwaziri mkuu yeye na Mr Ziro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
848
1,000
Anaweza asitajwe lakini marafiki zake wakatajwa!! nakumbuka kipindi kile anatoa miasada makanisani na misikitini alilkuwa asaema kuwa hizo hela amepewa na marafiki zake!!! hajawahi kuwataja na lengo la hao marafiki zake ilikuwa ni lipi ukizingatia kuwa hawajawahi kujitangaza!! labda walikuwa wanamsaidia ili akiingia ikulu asiwasumbue katika ufisadi wao!!!
 
Meela

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,432
2,000
Sijasikia wala kuona hata kusoma popote ripoti za mafisadi imemtaja lowassa maana huyu mtu amekua mtaji(reference) mkubwa sana kwa wanasiasa wanaposema habari za ufisadi ndani na nje ya vyama vyote katika kutafuta uongozi

Ripoti ya Richmond mpaka richmond ikabandikwa jina RICHMONDULI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom