Jaman walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Makunga, Jan 10, 2012.

 1. M

  Makunga JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 80
  Wanashangaza sana,waliahidi kuwa na mgomo mara baada ya shule kufunguliwa lkn had sasa kimya,walimu achen kubip ndo mana serikal haishtuki manake ishawazoea,mkiamua kufanya kitu fanyeni kweli na kwa umoja.
   
 2. s

  sugi JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  washarogwa hawa,wataendelea kuwa maskini na madaraja ya watu tu!na hao cwt ndo kimyaaa,dawa ni kuipiga chini hiyo cwt yao haina msaada
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wagome wapi ?
  Hawachelewi kusalitiana hawa!
   
 4. M

  Mbundenali Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tatizo l wlm ni waoga mno eti wnjfny wnajali haiba
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  haiba wapi, wengi hawana pa kwenda...labda wajitenge na walimu wa primary
   
 6. L

  LING'WINA Senior Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Siku zote mpapai hauwezi kuhimili mikikimikiki ya kimbunga, uongozi wa CWT umechakachuliwa waliopo wote ni mamluki, hawapo kwa ajili ya maslahi ya walimu bali kwa kuwadidimiza hawa walimu, ili walimu wafanikishe migomo yao wagome kikanda au kishule hapo kutakuwa na mgomo wa kweli zaidi ya hapo hakuna........"HAIBA BILA PESA NI MZIGO" Lakini walimu wamekuwa Punda wa selikari kila baya tupia kwao, nyumba mbovu, vitendea kazi hakuna, mishahara duni, makato mengi, mazingira mabovu ya kazi.........aaah inasikitishaaaa
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mbona aliishaahirisha mgomo kitambo tuu huyu bwana Mkoba kwani huyu ni mwanachama wa ccm kwa hyo anaogopa kukidhalilisha chama chake,la msingi hapa ni kupiga chini huu uongozi wa cwt taifa tuu
   
Loading...