Jaman walim

KANAN

Senior Member
Aug 20, 2011
124
39
Naskia mpaka leo hii walimu hawajapata mishahara ya mwez wa 9 mpaka leo hasa wilaya ya makete.. Hii imekaaje great thnker
 
pesa zote zilienda igunga kibaha wamepata jana mkuranga jmosi
 
Madaraja bado hayajapandishwa hadi sasa,waliopandishwa hakuna nyongeza mpaka sasa. Wilaya fisadi kuliko zote nchini wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga walimu wanaostahili kupandishwa madaraja hadi sasa haijulikani itakuwa lini,kwani wapo waliodumu miaka 7,6,5 lakini hawajapandishwa. Jamani huu ni uonevu. TUCTA wawatazame walimu Kishapu pia kamati ya bunge ya Mh.Mrema iende ikafanye uchunguzi huko maana pesa zetu za kodi wanazifaidi wajanja. Walimu mnatakiwa mchukue hatua na sio kulalamika tu huko vituoni kwenu,kibaya zaidi hamna umoja kwani CWT hawana msaada zaidi ya kukusanya fedha za uanachama tu. Jiungeni mdai vyenu!
 
Naskia mpaka leo hii walimu hawajapata mishahara ya mwez wa 9 mpaka leo hasa wilaya ya makete.. Hii imekaaje great thnker

haki haiombwi, inadaiwa...
uoga wao unawagharimu, wanaona ni illegal kudai haki zao...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom