Jaman wakazi wa kibaha na bagamoyo bomoabomoa hiyooooo........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman wakazi wa kibaha na bagamoyo bomoabomoa hiyooooo........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TWALICIOUS, Jun 4, 2011.

 1. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wakazi wa Mlandizi-bagamoyo bomoabomoa inakuja wameshaa kupiga X baadhi ya nyumba ila utata utakuja kwenye malipo vigezo wanavyo zingatia ni umbali wa mita 22 kutoka usawa wa barabara.....eti ni kwa maandalizi ya utengeneza wa bandari kutoka bagamoyo-kupitia morogoro road.......wasiwasi wangu uko kwenye malipo wanaweza wasiwalpe ikawa kama wale wa kipawa.........
   
Loading...