Jaman wakazi wa kibaha na bagamoyo bomoabomoa hiyooooo........

TWALICIOUS

Member
May 26, 2011
42
0
harakat za kupiga X kwenye nyumba zilizo jiran na barabara ni MITA 15 kutoka usawa wa barabara....ukiuliza unaambiwa ni maandaaliza kwa ajili ya matengezezo ya bandari uko bagamoyo...sawa hatukatai tatizo lipo kwenye malipo kwa wale walobomolewa....mwisho wa siku maskini wanakua wengi,ombaomba,mwizi ni athar ztokanazo na bomoabomoa...jamani serikali saidia wananchi insteady of kuwakomoa mwisho mnasema TANZANIA bila ya umaskin inawezekana waaaapi???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom