jaman sina confedence mbele za watu kabisaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jaman sina confedence mbele za watu kabisaaaaaaaa

Discussion in 'JF Doctor' started by sop sop, Sep 17, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wandugu naomben mnisaidie nifanye nini au ntumie dawa gan ili niepukane na hii kitu maana mambo mengi yanakwama!!!
   
 2. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Confedence= Confidence?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wewe ni jinsia ipi?
   
 4. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kapige punyeto mtaa wa kongo jumatano mchana
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  we ni ke au me?ni dalili za kubalehe,so iyo hali itaisha tu diode
   
 6. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mi ni me
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sijaelewe confidence ipi hasa unahisi hauna mbele za watu?
  •Uwezo wa kujielezea?
  •Wasiwasi?
  •Unatetemeka?

  Tiririkaaaaaaaaaaa
   
 8. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Umri wako? Tatizo limeanza lini?..je, katika familia ndugu kunz mtu ana hali hiyo?..je huwa una pata panic attacks? If yes, pls describe them.
   
 9. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  daaah mkuu hapo vyote vinanihusu//
   
 10. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  am 20 yrz now,kwenye familia czan kama yupo n mm tu peke yangu but panic attact sina..
   
 11. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  npo mbeya mkuu dar ntafikaje sasa,afu jaribu kuwa seriuz
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kama upo btn 16-20 nakushauri kajiunge na vikundi vya maigizo vya sanaa watakujengea confidence au kama mzee ana hela mwambie akupeleke Mzizima kuna masomo wanafundishwa ya Public speaking.
   
 13. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  npo mbeya mkuu.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Anza kujikubali. Wewe ni kiumbe wa kipekee, umeumbwa in a unique way na huhitaji kufanana na yeyote. Soma vitabu sana, angalia documentaries badala ya movies. Pia jiweke smart, vaa nguo safi kila wakati. Tabasamu, it will take you every where.
  Penda kukaa na watu positive, waliokuzidi kielimu, kiuchumi na hata umri na hakikisha kila mtu unajifunza kwake walau kitu kimoja. Kuwa positive, ukikosolewa leo ni chance ya kuwa better kesho.
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Jiamini na amini kwamba u can
  ondoa woga na la muhimu zaidi ya yote ni "jiamini"

  Mhhh sijui nimemshauri au nimeongeza wasi wasi kwake
   
 16. papason

  papason JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mkuu diode

  Jaribu kutafuta mbegu mbili tuu za mlonge zilizokauka vizuri, zimenye kuondoa maganda ya nje zibakie mbegu safi nyeupe za ndani, pindi unapojiona 'confo' limeshuka tafuna hizo mbegu nyeupe za ndani mara moja ndani ya masaa 24!

  Mfuko mmoja wa mbegu za mlonge unauzwa kwa 1000/ tsh kwa wauza dawa za tiba mbadala, na una mbegu zaidi 5000!
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  •Mbeya pia kuna vikundi vya sanaa,jitahidi sana mkuu kujiunga vinasaidia 100% ku-boost level ya confidence
  •Pia msikize King'asti
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Halafu samahani lakini mkuu,samahani kama ni mwanachama wa CHAPUTA inabidi urudishe kadi yao na ujitoe kwenye hiko chama!
   
 19. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  no hko cha cjawhi ingia na huwa sipigi hzo mambo kabisaaaaaaaaa
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Una umri gani?
  tafuta mke......inasaidia pia
   
Loading...