jaman nokia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jaman nokia

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Born Star, Jan 6, 2012.

 1. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  nina nokia n72 nikifungua gallery inagoma ikawa na memory card na niki downlod kitu kwenye net hakiingii kwenye memory card nifanyaje
   
 2. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hiyo sim nime2mia muda kidogo cjuwi kama nitapatia. Tatizo ni memory card,maana ukitaka download ina kuuliza uisave wapi,ukiona haikuulizi jua memory ni corrupted au kubwa mno kwa cm yako.jaribu uweke memory nyingine uone.
   
Loading...