jaman nipo serious i need a man 28 to 30 ma self nipo 25

jaquizoo

Member
Oct 4, 2013
15
6
kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi kuwa na mvullana na nikastay naye about a year n above tukaachana!nimekaa mda nafanya mambo yangu ss ule mda wa kuitwa baby na mm nauhitaji na nimemis!
 
Kuna jamaa mmoja aliweka uzi kuwa anatafuta mwanadada wa kumuondolea bikra...
Nadhani anaweza kukufaa anaitwa Nyachinjedi
 
Last edited by a moderator:
tuwasiliane ili nikufanyie usaili kabla sijakuunganisha na ndugu yangu ambaye kiukweli anatafuta mke wa kumuoa
 
Hellow baby...Mambo vipi. Mwenyeji wa wapi weye, umejiajiri au umejiriwa? Tutacontact vipi?
 
Back
Top Bottom