Jaman nimetokea kumchukia huyu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman nimetokea kumchukia huyu......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Garmii, Apr 15, 2011.

 1. Garmii

  Garmii Senior Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo vp wana JF,leo nimeona nije na topic inayotuhusu cc na jamii kw ujumla.utakuta mtu hana ugomvi na mtu lkn utamsikia akisema(jaman simpend flan)sasa hii huwa inatokana na nn? Ufafanuz pls!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wengne ni mashetan tu mioyoni mwao
  na wengne ni malaika tu mioyoni mwao..yule nampendaaaaaaaaaaaa labda ata amjui


  kuna kushoto na kulia .thk on t
  ukishatambua ilo ahh rraha tu...
  wengne wa ajabu anamchukia ata mtangazaji wa habar..amjui wala ajawai ongea nae lakin akaitokeza tu ehh jaman badirishen chanel...namchukia uyu sjui ata kwanini....

  roho mbaya tu
   
 3. Garmii

  Garmii Senior Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukosahih kbs Rose,pls tuambie ukwel juu ya hili ww hiyo hali imeshawah kukutokea labda?
   
Loading...