jaman niifanye nini hii iphone 3g?

erickmalz

Senior Member
May 27, 2011
145
11
khabr wana JF, nina iphone 3g mpyaaaaaa ,niwasha inaleta picha ya usb caple na itune,and inataka emergence call tu. How can i make it work jaman?

49080828.jpg
83613946.jpg

mkuu imeonyesha screen gani' A au B?

mkuu unaitaji kuiflash kisha uijailbraik mwisho uitoe lock kisha utumie kama unaweza nikupe full step ufanye mwenyewe?

mkuu imeonyesha screen gani' A au B?

Sceen A mkubwa

Then ipo locked, either uliRestore firmware kupitia Itunes au mtu mwingine alifanya hivyo,,, unachotakiwa hapo ni kuJailbreak na kisha kuUnlock',,!

Itakuwa njema zaidi ukinielekeza jinc ya ku jailbreak nakuunlock

hiyo iko locked inabidi uijailbreak ndio itumike,na usiiconnect tena kwenye i-tunes

Back
Top Bottom