Madawa Bety
New Member
- Oct 2, 2011
- 1
- 0
ni mwaka3 sasa tangu nianze uhusiano na huyu kaka,kiuwezo tunatofautina sana but sikujali hilo nami nmejitahidi sana kumpa penzi langu,nimejitahidi kumtunza na nimekuwa nikimvumilia sana nami aniridhishe,anipe penzi na matunzo yale anayostahili kupata mwanamke but sipait,nikimweleza ananiambia nivumilie atabadilika but mpaka sasa sioni mabadiliko yoyote,namweleza basi kama huwezi kuleta mabadiliko katika penzi letu basi jtahidi hata wewe mwenyewe kushughulika.
Kwasababu somtimes anaishiwa kabisa inabidi nimsaidie but mimi ninavyoamini mapenzi ni kusaidiana,kuonyesha ushirikiano ili wote mfurahi,hakuna lolote analoweza kunipa zaid ya penzi kitandani na muda wote nashrikiana nae tu ili nimfurahishe but mie sina amani wala furaha,kuna wakait nilikuwa nikikaa namwaza yeye tu,namuota yeye tu but now nimechoka maana sina amani wala furaha maana mimi na weakness moja napenda kubembelezwa napenda ile attention toka kwa mwanamme but hata hayo hakuna, I feel i need to move on or nitulize nafsi na akili yangu ili nipate kusoma maana niko mwaka wa mwisho wa masomo chuo but nilipojaribu kumweleza mwenzangu ame-react na ku-complain nimpe nafasi nyingne atabadilika but mi nimemweleza feelings zangu kwake zmeisha naamini mambo yatakuwa yaleyale nami nmeboreka.
But nilipomueleza yote haya darasani haendi,vpind haudhurii,hanafuraha kama kachanganyikiwa,he says he cant do without me,analia kabisa anataka nimpe chance nyingne hata kwahuruma tu angalau amalize masomo but mimi sitaki kupretend namjali wakati nimechoka naona kama na muumiza nami najiumiza nakujipa mawazo,still sina furaha yaan ndo hivi hebu nipeni mwangaza nifanye nini?