Jaman naumwa na mawazo,nateseka nfanyeje?

Madawa Bety

New Member
Oct 2, 2011
1
0
ni mwaka3 sasa tangu nianze uhusiano na huyu kaka,kiuwezo tunatofautina sana but sikujali hilo nami nmejitahidi sana kumpa penzi langu,nimejitahidi kumtunza na nimekuwa nikimvumilia sana nami aniridhishe,anipe penzi na matunzo yale anayostahili kupata mwanamke but sipait,nikimweleza ananiambia nivumilie atabadilika but mpaka sasa sioni mabadiliko yoyote,namweleza basi kama huwezi kuleta mabadiliko katika penzi letu basi jtahidi hata wewe mwenyewe kushughulika.

Kwasababu somtimes anaishiwa kabisa inabidi nimsaidie but mimi ninavyoamini mapenzi ni kusaidiana,kuonyesha ushirikiano ili wote mfurahi,hakuna lolote analoweza kunipa zaid ya penzi kitandani na muda wote nashrikiana nae tu ili nimfurahishe but mie sina amani wala furaha,kuna wakait nilikuwa nikikaa namwaza yeye tu,namuota yeye tu but now nimechoka maana sina amani wala furaha maana mimi na weakness moja napenda kubembelezwa napenda ile attention toka kwa mwanamme but hata hayo hakuna, I feel i need to move on or nitulize nafsi na akili yangu ili nipate kusoma maana niko mwaka wa mwisho wa masomo chuo but nilipojaribu kumweleza mwenzangu ame-react na ku-complain nimpe nafasi nyingne atabadilika but mi nimemweleza feelings zangu kwake zmeisha naamini mambo yatakuwa yaleyale nami nmeboreka.

But nilipomueleza yote haya darasani haendi,vpind haudhurii,hanafuraha kama kachanganyikiwa,he says he cant do without me,analia kabisa anataka nimpe chance nyingne hata kwahuruma tu angalau amalize masomo but mimi sitaki kupretend namjali wakati nimechoka naona kama na muumiza nami najiumiza nakujipa mawazo,still sina furaha yaan ndo hivi hebu nipeni mwangaza nifanye nini?
 
Ok .. uko chuo? chuo gani? unasema mnatofautiana kiuwezo tayari ww ni mfanyakazi ama pesa za wazazi/boom ndilo mnalotumia? mara zote mapenzi hayaendi sawa hasa pale mmoja anapojali kupita kiasi mapenzi yapo tu siku zote na hufurahisha pale ambapo kila mmoja anafanya wajibu wake ktk uhusiano tofauti na hapo unasonga mbele na kuangalia mambo mengine kuweka mkazo zaidi katika masomo
 
nikwambie.....:" wewe unampenda huyo kijana ila tatizo tu hana pesa hata ya kukusaidia hata nguo ya ndani coz najua your not demanding of expensive things from him, ni vile tu vya kukufanya ujisikie na wewe unapendwa, sasa basi hao watu wapo na ndio wanaoitwa masharo..huyo mwanaume siokuwa hajua nin yampasa yeye afanye ila anapenda mtelemko ..na huko kujiliza kisikustue eti ukadhani ana mapenzi hapana analilia pesa na huduma ulizokuwa uanmsaidia do you think ukiendeleza mgomo hatapata mpenzi mwingine?usikubali kuendelea naye muache kama mpenzi hana msaada wowote kwako mwambie its over, kwa nn utunze nguo iliyokuruka ndani ?
 
songa mbele wewe, kama mshaongea mara kadhaa hajabadilika unafikiri atabadilika mkioana?
 
Hyo anajidai haendi clas hana raha ni bomu lake la mwisho akijua ukimuona yuko ktk hali hyo utamsamehe muendelee. Tegua mtego huo cuz ukijidai unamuonea huruma basi waweza kufeli mwishoni cuz m2 asietoa ushirikiano ktk mapenzi ni kumwaga tu maana mizani haibalans. Kata mawasiliano nae, fata mambo yako then km kweli akikukosa atakufa...let hm die cuz hana shukrani. He is a golddigger na ukifatilia sana utakuta ako na manzi mwingne ambae ndie anakula kile unachokitoa/ kukosa as ur his little atm. Mapenzi tena ya upande mmoja ni km kautumwa flani hv. Mwache! Kimbia! Okoa muda wako! Okoa GPA yako! Na tambua wanaume wanaojua kuprovide hvyo vi2 uvipendavyo wapo tena wengii....jipe tu muda utampata!
 
rasilimali pesa hana,simlaumu. .lakini hata kushow some love?. .he gat be kidin,mpe take a bow,take back ua love atatokea anaekujali na utakua na raha ya maisha. .kulia ni maigizo hata kanumba haitaji kuweka kitunguu machoni umwone analia lol!
 
it has come to my attention that at the end of the day 'a man with power' is what a woman needs. Anything else its a calamity to some and unfulfilled emotions to others.
 
I thnk u need 2 sit dwn and av sam 9c desitn aprt 4m extrnl forcs!

Yaani hivi viherufi havieleweki kabisaa,hata kama unapost via mobile lakn jaribu kuwa makini,...maake hata hatujui unamaanisha nini?...anyway ni jana tu umejiunga_ukikua utabadilika kitabia
 
it has come to my attention that at the end of the day 'a man with power' is what a woman needs. Anything else its a calamity to some and unfulfilled emotions to others.

yeah man!........
 
Shoga huyu kaka amejisahau sana au anaona wewe ndio ATM yake? pesa hana basi hata mapenzi? umejitahidi sana kumuonyesha na kumkubali alivyo lakini sasa ameliwa raha,hata kama pesa hana sidhani kama anashindwa kukufanya ukajisikia speacial,ss mwache alie mpaka agaregare chini
asukupoteze mda alopoteza unatosha apeleke masha yake mbele asipokuja darasani atajiju,asikushughulishe....
 
Wa2 wahivyo dadaangu wapo hiyo tabia si kwamba atabadilika ndo yake milele
hata akiwa na kazi matunzo hutayaona kwa sbb ya mkono wa birika
hivi unashindwa kumuonyesha upendo mwenzio kwa kisingizio cha kipato
upendo nao unahitaji kipato
siajabu anajishaua tu kulialia il umuonee huruma,love na ww hana
kaza mwendo bi dada mambo mbele kwa mbele
 
I thnk u need 2 sit dwn and av sam 9c desitn aprt 4m extrnl forcs!
2 si dwn...Ni To seat down and//av sam 9c desitn....yani have some nice destination apart from external force!!Ndo nilivyo muelewa lakini sijui hii si lugha yangu!!


Mkuu unayetumia mobile nafikiri ungeaandika post yako ikaeleweka zaidi kuliko kuweka hizo initials ambazo ziko kwenye blue color
Nadhani hata wewe ulimuelewa hivyo lakini ajitahidi hapa umri umepishana aache mambo ya facebook hapa ni JamiiForums
 
pole sana shosti kama ushampa muda abadilike na yy bado yupo hivyo hivyo hebu achana nae fanya mambo yako piga moyo konde na utamsahau tu na mungu atakujalia utampata wa ukweli mwenye mapenz ya dhat na anayejua kujali na kujua umuhim wa mwanamke.
 
Kaa ufikiri na upate jibu la swali hili - anakupenda? Ukipata hilo na wewe jiulize - unampenda? Baada ya hapo usikilize moyo wako utakuwa unakuambia nini
 
Back
Top Bottom