Njia gani mnatumia kupata wapenzi JF?

mkuu kama pesa imeshindwa kutatua hii shida, basi utakua una shida nyingine binafsi tu wala sio wanawake, usiwasingizie
 
ok tuanze na wewe apo

mi nimeipenda sana avatar yako i hope na wewe utakua mrembo sana tena zaidi

napiga hodi ndani ya moyo wako plz naomba nifungulie nikalibishe ndani ya moyo wako naahidi nitakua mkweli na muaminifu Inna wangu plz i beg you
Vp una mshiko wa kutosha joseph
 
Hivi kweli Tanzania ya viwanda itafanikiwa kweli kwa mawazo kama haya?kumbe magufuli ana haki ya kusema aombewe.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom