jaman naomba msaada namna ya kufika kilelen mimi na mwenzangu ili tufurahi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jaman naomba msaada namna ya kufika kilelen mimi na mwenzangu ili tufurahi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Money Stunna, Oct 30, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  uwa naona wazungu vijana kwa wazee wakiweza kupanda mlima kilimanjaro adi kufika kilelen,mimi na rafik yangu tumejaribu sana kupanda mlima kilimanjaro ili tufike kilelen kupitia mlango wa marangu,lakin tumechemsha atujaweza kufika kilelen na si kwamba sababu ya baridi kwa sababu naishi nchi zenye snow,ila sijui sababu.
  kinachoniuma uwa naona wazee wa kizungu wanafika adi kilelen mwa mlima kilimanjaro lakin mimi siwezi.
  naomba mnisaidie mbinu za kuweza kufika kilelen mwa mlima kilimanjaro mimi na rafik yangu ili tuweze timiza ndoto yetu,
  asanteni
   
 2. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  Puzzle...!!! Mia
   
 3. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Panden ungo usafir salama na uhakika.....
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,603
  Trophy Points: 280
  umefikia umri wa kufanya mapenzi?
   
 5. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mh watu8 hebu nisaidie hapa mtoa mada ni she ni he ?manake anaposema yeye na rafiki yake sijaelewa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Nani kakufanganya? Marubani wenyewe wanarogana kila siku ndo maana ndege nyingi siku hizi zinaanguka
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,603
  Trophy Points: 280
  mmh kwa jinsi anavyouliza kwa unyonge nahisi atakuwa ni ME...ila vilevile napatwa na wazo jingine kuwa pengine tukawa tunadeal na lesbians au gays hapa
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  heri mimi sijasema!
   
 9. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  nyie vip!!! mimi nazungumzia mlima kilimanjaro nyie mnamawazo gani mnayofikiria,mimi niko wazi naulizia kupanda mlima kilimanjaro,mlima mrefu kuliko yote Africa,nipen mbinu nipande adi kilele mwa mlima,msifikirie vitu vyenu
   
 10. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kufika kileleni.... dah imekaa kimafumbo mno! Kwani kuna shida gani kufunguka??? Au kuna katoto humu JF?
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  shida ni kwamba hatuelewi kitu hapa!huyo rafiki yako mnashare habari zenu za ndani na wahusika wenu au ?tueleweshe hapo bana!hii ''mimi na rafiki yangu tuweze kufika kileleni'' unamaanisha nini?
   
 12. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  mbona umeleta kwenye jukwaa la mapenzi? Mbulula mkuwa wewe
   
 13. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,600
  Likes Received: 2,229
  Trophy Points: 280
  hamna mbinu.ni uwezo wa mapafu yako tu na hilo ni suala la maumbile.na pale ukilazimishia utashangaa tu unawaona akina mkwawa na mirambo
   
 14. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  pengine ilo kosa nimefanya,ningepeleka jukwa gani mkuu,asante kwa kugundua ilo kosa
   
 15. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Hata mimi wasiwasi wangu ndo huo! Mambo ya pwani hayo! Jamaa huyo, achana naye!
   
 16. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  lakin lazima kuna mbinu pengine nakuwa nimeshiba sana kabla ya kupanda mlima,je kuhusu kunywa maji inatakiwa unywe kwa kiwango gani kabla ya kuanza kupanda
   
 17. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mimi nimepanda mlima knjaro mpaka kileleni at the age of 19yrs mazoezi ni muhimu na dhamira yakutekeleza fata maelekezo ya maguide wako then its so simple u know
   
 18. piper

  piper JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha, bora uwaeleze bana maana wao wamekazania kuwa mnataka kupiga mambo.
   
 19. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,603
  Trophy Points: 280
  kati ya waliochangia na mleta uzi unadhani nani ana makosa, ukiwa MMU na ukaongelea habari ya kupanda mlima ni tofauti na ukiwa Hoja na Habari Mchanganyiko....
  Huku kupanda mlima ni kauli inayostahaisha "uwezo wa mwanamke au mwanaume kufika mshindo"
   
 20. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  asante kwa ushauri wako mkuu,pamoja
   
Loading...