Jaman nani aliomba kazi za hd co.?wamenitumia email ya kamchango!!!

Toria

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
1,177
699
Msaada kwa anaeijua hii kampuni fresh b4 sijawatumia m-pesa yangu au ndo walewale wazee wa mjini jaman?
i hop mnakumuka zile nafas za graduates zilizotangazwa na hawa hd.co.lth
plz msaada coz wamenambia nitume elfu 10 na mpesa kwa namba ya hr director
 
Elfu kumi ya nini tena mkuu? Au ndio unanunua kazi mkuu, hebu funguka kwanza!
 
Msaada kwa anaeijua hii kampuni fresh b4 sijawatumia m-pesa yangu au ndo walewale wazee wa mjini jaman?
i hop mnakumuka zile nafas za graduates zilizotangazwa na hawa hd.co.lth
plz msaada coz wamenambia nitume elfu 10 na mpesa kwa namba ya hr director
daah kaka pole hako ka buku kumi c ndo kale ka kufanyia training? maana mi ndo walivyonielekeza
 
Back
Top Bottom