Jaman mi mwenyewe Yanga ila Mafunzo noumaaaaaaaaaaaa

barahuzi ni mtanzania tena mwananchi mzawa alieonyesha uwezo kuliko maprofessional waliopita yanga wakina MWAPE na mwenzie ASAMOHAH.....BALAHUZI kawafunika.mwenye hoja tofauti na mimi atiririke hapa......
 
asante kaka nilidhani si mtanzania manaake jamaa ni noma basi pale mbele kwenye timu ya taifa itakuwa fresh akicheza na samatta na ngasa au mnasemaje wakuu
 
Back
Top Bottom