Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,321
- 115,321
Hahahaa. Naenda kuliongezea kwa kweli. Yaani huwa katika nguzo za watu wa Tanga hiyo haikosekani aisee.Malizia wakarimu ,unasahau tena neno muhimu hili
Tuna ukarimu mnooooo.
Hahahaa. Naenda kuliongezea kwa kweli. Yaani huwa katika nguzo za watu wa Tanga hiyo haikosekani aisee.Malizia wakarimu ,unasahau tena neno muhimu hili
Majini kwani unataka kwenda chumvini kuogelea maana kuna hiyo sehemu Tanga,ni njia ya kuelekea Mombasa,angalia ukivuka mpaka wa TZ kwenda huko hawako kama TAhuko tanga c ndo kuna majini?
Aje twende, naenda keshokutwa kikazi angalau ndio home nitamlinda kama anaogopa peke yakeHahahaa. Ungejua watu wanavyokulilia yaani we mwenyewe ungeacha hizo mawazo ukaja tu uone Tanga na watu wake.
Uuuuuuuuwi punguza ukali wa lugha kuna watoto bado wanaharufu ya maziwa humu
Hahahaa. Itabidi aiseee huenda hayo mawazo aliyonayo yakamtoka.Aje twende, naenda keshokutwa kikazi angalau ndio home nitamlinda kama anaogopa peke yake
Ni kweli kabisa,TA ni ukarimu kwaweli,huoni watani zetu akina ngosha wakiingia huko,hawarudi usukumani basiHahahaa. Itabidi aiseee huenda hayo mawazo aliyonayo yakamtoka.
aah asaiv nina binamu wawili nasubir binam mfike wa nne nilete mahari kwa pamoja ili nioe siku moja nipunguze gharamakaribu sana binamu
Hahahaaaa. Lolaah asaiv nina binamu wawili nasubir binam mfike wa nne nilete mahari kwa pamoja ili nioe siku moja nipunguze gharama
Dope! jitaharishe kuwa mke mwenza na ukhuty ukoo hauendi mbaliHahahaaaa. Lol
Wale vibaka ***** zao mi walinikaba wakachukua baiskeliduuu umenikumbusha nliwahi kukabwa usagar karb na yale magorofa ya bandari ***** zao ao vbaka
binamu banaaah asaiv nina binamu wawili nasubir binam mfike wa nne nilete mahari kwa pamoja ili nioe siku moja nipunguze gharama
utandawazi hamna shida kabisa ndio vzur hata watoto hamta wabaguahaha hajar ni dada angu wa damu ujue
hajar njoo usikieutandawazi hamna shida kabisa ndio vzur hata watoto hamta wabagua