Jaman kwa yeyote anayemfaham huyu mtu

Ndeke afwege

Senior Member
May 20, 2014
154
0
Namtafuta Najenjwa Elibariki alihitim CBE mwaka jana field yake ya mwisho aliifanyia TRA morogoro naomba kwa yeyote anayemfaham au anayejua alipo au mwenye mawasiliano naye naomba msaada
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,040
2,000
Namtafuta Najenjwa Elibariki alihitim CBE mwaka jana field yake ya mwisho aliifanyia TRA morogoro naomba kwa yeyote anayemfaham au anayejua alipo au mwenye mawasiliano naye naomba msaada
Analea watoto pacha aliozaa na mfanyabiashara maarufu wa madini kutoka Congo! Pole kama bado ulikuwa unampigia mahesabu.
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,244
2,000
Ila mods plz lugha na majibu ya kashfa kama ya huyu Africa nn sijui,ndo ya kuyapiga BAN ya milele.Me sijapenda hayo anayojibu,jf ni zaidi ya utoto anaoufanya kama huu.Haya majibu yapo kwa watoto wenzake facebook huko.Anajua mtu ana shida gani mpaka ameamua kumtafuta mtu humu?

NATARAJIA HATUA DHIDI YA HILI.
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,753
2,000
Ila mods plz lugha na majibu ya kashfa kama ya huyu Africa nn sijui,ndo ya kuyapiga BAN ya milele.Me sijapenda hayo anayojibu,jf ni zaidi ya utoto anaoufanya kama huu.Haya majibu yapo kwa watoto wenzake facebook huko.Anajua mtu ana shida gani mpaka ameamua kumtafuta mtu humu?

NATARAJIA HATUA DHIDI YA HILI.

Well said.....umeongea point muhimu sana kuna na wale wehu wanaocomment upuuzi jf doctor yaani mtu anakuja serious ana tatizo anataka kusaidiwa wao wanajibu pumba wallah wanakera sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,697
2,000
Namtafuta Najenjwa Elibariki alihitim CBE mwaka jana field yake ya mwisho aliifanyia TRA morogoro naomba kwa yeyote anayemfaham au anayejua alipo au mwenye mawasiliano naye naomba msaada

maelezo yco hayajitoshelezi na yanaacha maswali kichwani?,ni bora ufafanue zaidi.hata kama m2 anamjua c rahc kukuambia.eg mnahusiano gn au unamtafta kwa ajiri gn?
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0
Ni yule aliyesomea Jangwani ? mchagga wa Moshi ? rafiki yake na Agatha. Halafu akaja CBE halafu baby wake alikua DIT ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom