Jaman huu sio wizi kweli?

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Nimepokea sms inasema.`YOUR CELL NUMBER HAS WON 415000 POUNDS FROM NOKIA-UK PROMO.FOR CLAIMS SEND YOUR DETAILS TO OUR EMAIL; nokiaukcashoff@gmail.com imetumwa kutoka namba+4916096535804. Je kuna m2 mwingne yoyote ambae katumiwa sms hii? Na wanahuakika gan natumia nokia? Jaman mwenye kujua anijuze.
 
Nimeletewa hio message na watu wawili... fortunately hawajui kiingereza hivo walitaka watafsiriwe... naamini kabisa wangekua wameelewa wangeingia mkenge maana watu wa vijijini weengi bado hawajasikia utapeli wa hivi...
 
<br />
<br />
Ok nilikuwa nawaza wataniibiaje sasa kama ni wezi? Au watesema ooh kuna transaction cost uchangie ili waweze kukupa.
 
Take care bro! Hao watu huanziaga mbali sana endelea kwanza kuchunguza!
 
jamani, THERE IS NO FREE LUNCH!!! kama ni lottery lazma waitangaze na uchangie! sijui nijiunge na utapeli,yaani kuna watu bado wanaamini hizi,kha!
 
jamani, THERE IS NO FREE LUNCH!!! kama ni lottery lazma waitangaze na uchangie! sijui nijiunge na utapeli,yaani kuna watu bado wanaamini hizi,kha!
<br />
<br />
Ukumsikia yule wa airport na dili zake. Infact kila m2 anaibiwa ila tunataka iwe kwa kiwango kidogo kabisa
 
Achana na hao... ni matapeli na ukizubaa umeliwa. Ukijilengesha tu watakudai gharama za ku-claim, bank account yako na kabla hujastuka utakuta account yako inasoma ZERO balance!! na ukiwafuatia huwapati tena hewani. Hamna cha bure bana.
 
Last year on June my mom got the same msg and she asked me to help on colecting the prize! Niliwaandikia email hawakujibu. Niliwasms hawakujibu mpaka kesho nkajua tapeliz!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom