mwmbeki
Member
- Apr 8, 2017
- 91
- 124
Salaam kwenu wapendwa,
Kila napopata wazo, na kila jambo linaponikera au kunifurahisha napenda kuwashirikisha wana JF ili kupata mchango wao.
Leo lililonikera na kunipelekea kuandika Uzi huu ni IDARA YA NISHATI NA MADINI.
Kwa mkoa wa Arusha umeme umekata takribani wiki mbili sasa,sijui mikoa mingine .unakatwa sa 1 au sa 2 asubuhi unarudishwa sa 1 au sa 2 hadi sa 3 usiku.
Ndugu zangu unapokata umeme mjue shughuli nying za kiuchumi zinakwama..mfano saloon,ice cream,uchomeleaji,ufundi wa aina mbalimbali,n.k hii inapelekea hasara kubwa ktk uchumi na kuwaweka wananchi katika hali ngumu kimaisha,ukiangalia na hali ya sasa iluvyo ngumu hadi inatoa harufu ka uozo.
Kibaya zaidi ni pale mtu anapokuwa amekodisha chumba cha biashara,anataka ale,anywe,na alipe kodi ya chumba,mwenye chumba hutamwambia sikufanya kazi sababu ya umeme af akuelewe.
Wanasema eti wanatengeneza nguzo,Mimi najiuliza ina maana hizo nguzo zinaoza au zinaharibika kila mwezi au kila baada ya wiki 2?? maana tangu mekuwa sijawahi kuona umeme unawaka mwezi mzima mfululizo,na sina huakika ka Tanzania ilishawasha umeme mwezi mzima bila kukatka tangu kuzaliwa kwake.
Mimi nauliza hivi hii iko serious kweli,au wanafakiri tunakula maneno ya siasa?
Mawazo yenu Tafadhali.