jaman hiki kinaweza kutokea?

Umeolewa
Then unatoa mimba ya mumeo?
Anajua hata kuhusu mzunguko wa siku ukoje?
Siku hizi wanaume mnatumia condom kwa wake zenu? Hongereni sana

Hakuna utakatifu wa ndoa hapa.....aiangiii akilini kutumia kondom kwa mkeo.......upendo unaimarika sana kama mume ataeshimu zile siku za hatari kwa mimba kwa mkewe.......
 
Hivi kuna mwanamke hajui kuhesabu siku! au ye zake sometimes zinakwendaga mpka 60! manake wa hivo ndio wanaumizaga kchwa
 
Wanandoa wanatumia condom???mmmmmmmmh!haya bwana, maisha nikupanga na kupanga nikuchagua!!
 
Hawezi kupata mimba kwani yuko nje ya siku hatari

Hili ndilo jibu sahihi, unajua wadada wengi huku mtaani wanadhani siku zao za bleed ndizo za hatari kushika mimba kwahiyo tarehe za bleed zikikaribia hawataki kusex, seriously they are totallywrong, hii elimu ya mzunguko huwa inawasumbua sana na ndiokuna mimba zinakuja bila kutegemea! !
 
Kweli kabisa me nina rafiki zangu wawili yan nilitumia muda kuwaelekeza wao zile siku za hatari ndo wanasema siku salama, siku salama sasa wenyewe ndo wanasema ndo za kupata mimba. Hii elimu inahitajika sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom