love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
natumaini mpo poa wana jf!.... Kuna rafiki yang kaolewa na ana mtoto mmoja.kaniomba ushaur kwa atakayeweza na amshauri jaman. Yeye anatumiaga condom lakini jana bahati mbaya amefanya mapenzi na mmewe bila kinga,na bado siku mbili aingie bleed.kiukwel mtoto wao bado mdogo,swal je anaweza kupata mimba na afanyaje?coz hapendi kutoa mimba.