jaman hiki kinaweza kutokea?

love peace

Senior Member
Sep 10, 2013
130
37
natumaini mpo poa wana jf!.... Kuna rafiki yang kaolewa na ana mtoto mmoja.kaniomba ushaur kwa atakayeweza na amshauri jaman. Yeye anatumiaga condom lakini jana bahati mbaya amefanya mapenzi na mmewe bila kinga,na bado siku mbili aingie bleed.kiukwel mtoto wao bado mdogo,swal je anaweza kupata mimba na afanyaje?coz hapendi kutoa mimba.
 
Bahati mbaya??

Sijui ndo nazeeka!

Anyway!
Probably I could understand more in presence of photo!
 
ah... mtoto anaumri gani mpaka aogope..? wanandoa hawatoi mimba labda itishie afya ya mama. na wala hawaoni aibu kwa kuzaa harakaharaka....
 
Kunaa kitu nasikiaga kinafanyika sa sijui ndio hiko..........nimekisahau sahau.........

halafu 2 days kabla ya kuingia MP si ni safe days hizo
 
Kiukweli elimu ya uzazi bado inahitajika kwa kiasi kikubwa..kuanzia matumizi ya njia za kisasa(condom) mpaka njia za asili(kalenda)...
 
hawez kupata, mwambie agoogle ili asome na kuelewa mzunguko wake na siku hatari kwake ni zipi, ili aondokane na hofu zisizo na msing
 
natumaini mpo poa wana jf!.... Kuna rafiki yang kaolewa na ana mtoto mmoja.kaniomba ushaur kwa atakayeweza na amshauri jaman. Yeye anatumiaga condom lakini jana bahati mbaya amefanya mapenzi na mmewe bila kinga,na bado siku mbili aingie bleed.kiukwel mtoto wao bado mdogo,swal je anaweza kupata mimba na afanyaje?coz hapendi kutoa mimba.
mimba inaweza kuingia na hasa kama ulivyoeleza imebakia siku ,kinachotokea nasikia chembechembe za shahawa zinakuwa zinabaki,nashindwa kuelezea vizuri,ila mtaalamu atakueleza vizuri
 
Kina mama, jadilini vizuri na waume zenu habari za familia. Ukubwa wa familia na uwezo wenu kuzilea. Huna haja ya kuzaa watoto usiowaweza. Tena lazima uelewe, malezi ya mtoto sio ugali tuu.
Sasa pamoja na hayo, usioggope kuzaa haraka na mumeo ila jua kwamba itakuongezea jukumu la kulea uzao wako. Kwanza ni furaha kuzaa haraka ili ufikie lile lengo lenu la familia yenu. Wawili au wanne. Ukiwazaa haraka, woote wanahitaji malezi lakini ni kwa mda mfupi tu unakuwa umeachana nao unatoka na kwenda kuwajibika ili usaidie kwenye pato la familia.
Narudia tena zaa haraka, funga kizazi. Lea familia kwa muda mfupi utoke kwenda kuongeza pato lenu. Panga uzazi
 
No coment
 
aisee kweli humu ndani kuna vituko sasa na hili nalo linajadiliwa huku kiruuuuu mbuta nanga
 
Umeolewa
Then unatoa mimba ya mumeo?
Anajua hata kuhusu mzunguko wa siku ukoje?
Siku hizi wanaume mnatumia condom kwa wake zenu? Hongereni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom