Jaman eti wivu dhambi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman eti wivu dhambi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Arabela, Aug 4, 2012.

 1. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wana jf mwanamke kumuonea wivu mumewe au gal kumuonea wivu boy wake dhambi.. Mana nashndwa kuelewa gal/woman asipomuonea wivu boy/hubby wk akamuonee nani jaman.. Mana nashindwa elewa tukisongesha gurudumu la maisha yetu na kutake simple utasikia mtu alalama mapenzi yamepungua..
   
 2. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Usitamani chochote alichonacho jirani yako! Mtakuwa mwili mmoja (na mke/mume) wako, wala si wawili tena bali mmoja! Sasa je, waweza kuuonea wivu mwili wako mwenyewe?
   
 3. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ni kweli 2takuwa mwili moja kifkra c kimaumbile... Hata hvy me naamin bila wivu na mapenzi hakuna
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Dhambi ukiwa humuonei wivu mumeo/mkeo
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Wivu una weza ukawa kipimo cha mapenzi, si dhambi kumuonea wivu mtu unaye mpenda kweli.

  Ila wivu husizidi au kupitiliza unaweza kuharibu mapenzi yenu.
   
 6. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  MadameX do you mean ukiwa na wivu ndio sahihi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. a

  amina ali Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wivu sio dhambi lakini uwe ni wivu kweli isiwe karaha ukamkosesha mwenzio hata uhuru wa kwenda msalani
   
 8. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kuna wengn wivu ni ugonjwa anataman kuacha anashndwa. Believe me rutta wngn anafikia kuumwa lakn ukichunguza chanzo ni wivu
   
 9. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ni kweli amina
   
 10. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  madame wakubaliana name kuwa wivu ni kiungo muhima linapokuja suala la ndoa?
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,009
  Likes Received: 23,725
  Trophy Points: 280
  Niacheni nifanye wivu kwa wangu kipenzi,
  Bila wivu atajuaje kama kweli wampenda?
  Source: Vijana Jazz.

  Wivuu wivu ukizidi, unaleta Kero mamamamamaeee
  Unaleta kerooo oooh
  Source: Nimesahau
   
 12. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ila huo wivu usipitilize..........
   
 13. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  eti atajuaje km wampenda sharti kuwepo nakshi
   
 14. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wivu sio dhambi mwingine kero na unaweza kusababisha dhambi tena kubwa.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  wivu si dhambi, dhambi ni kuandika kisasa mno kutu ia vifupi wakati hapa kuna walio wazee.

  Tutachangiaje?
   
 16. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  twahitaji busara zako
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145

  Wivu si dhambi, ila kumbuka too much of anything is harmful. Watafiti wa mambo ya saikolojia wanasema penzi lolote kati ya me na ke lazima liwe na element za wivu, kikubwa ni kuweza kujicontrol ktk hilo, usimkwaze mwenzio.
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Muda mwingine unatakiwa kujizui na kuto muamini mtu kupita kiasi.

   
 19. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ni muhimu lakini sio ule wa kutoleana amani...lakini kama huna wivu na mumeo hauna feelings naye
   
 20. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yes, sio ule wa kupita kiasi, wivu muhimu katika mahusiano kama hamna basi hujampenda huyo mtu.
   
Loading...