bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Jamil Malinzi Yeye kaweka Nyasi bandia pale Kaitaba,Nyamagana.
Serengeti Boys wamecheza Gabon.
Ligi ya wanawake Imerudi
Ligi Kuu ipo Mubashara Azam Tv
Wadhamini Wameongezeka
Kawapa Makocha wazawa nafasi ila wanashindwa wenyewe
Kaanzisha Azam federation Cup mshindi anawakilisha nchi kombe la Shirikisho Afrika kombe lina msisimko.
Kawezesha Sportpesa kufanyika Hapa kwa mara ya Kwanza
Leodagar Tenga
Alilteta makocha wa kizungu
Taifa stars ilishiriki Kombe la wachezaji wa ndani Afrika kule Ivory Coast.
Uchaguzi umekaribia Naona bado Malinzi akipewa nafasi atafanya vyema