Jamal Khashogi alikuwa na ujasiri yuko salama Uturuki

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa wanajamvi,

Kati ya habari iliyohit na kutrend kwenye vyombo vya habari duniani ni kupotea kwa aliyekuwa muandishi mahiri wa gazeti la Al Watan Saudia na washington Post Jamal Khashoggi.

Japo alijua hayupo salama alidhani ubalozi wa Saudi Arabia instanbul Uturuk asingeweza kudhuriwa kwasababu ipo kwenye ardhi ya turkey pia kwa sababu ingetokea madhara yeyote kwake jumuia ya kimataifa ingeingilia kati.

Ila Mohamen Bin Salman Katili sana. Kwenye umri mdogo alionao mambo ya ajabu ya ukatili anayofanya lazima apigwe stopu. Jamaa ana vishen nzuri ila the way he crack down his opponents os so much Brutal. Ila limeshatuma ujumbe kwa opponents wake hawapo Salama popote duniani.

Cc dudus Elungata hearly Washawasha Frank Wanjiru jingalao ISIS
 
sasa mkuu kipi ni kipi? Kule kauwawa,huku yupo sarama,kule hawajui alipo,huku sisi hatuusiki.
 
Pamoja na yote,naona kama Intelligence ya Saud Arabia haina weledi kabisa katika mambo mazima ya assassination,ni uboya na ujinga wa hali ya juu uliofanyika. Ni Bora hiyo kazi wangewapa Mossad wammalize huko huko mtaani.
NB:Siungi Mkono vitendo vya kuwamaliza wapinzani wako Kisiasa.
 
Acha utoto wewe, saudia na usa ni pete na kidole, jiongeze kidogo usikilize speeches za Ghadafi!
Duh mna chosha walahi
 
Hamna mtu ambae ana akili zake akawa amedeclare kuwa yeye ni open enemy wa Dola yeyote hapa duniani.

Saudi Arabia is the heart of Islam, wenye kubweka wataishia kubweka lakini mziki wa Saudia wanaujua.
 
Pamoja na yote,naona kama Intelligence ya Saud Arabia haina weledi kabisa katika mambo mazima ya assassination,ni uboya na ujinga wa hali ya juu uliofanyika. Ni Bora hiyo kazi wangewapa Mossad wammalize huko huko mtaani.
NB:Siungi Mkono vitendo vya kuwamaliza wapinzani wako Kisiasa.
Kwan hao Mossad hawajawahi kukosea kwenye mission zao? All in all walichofanya ni cha kukemewa.
 
Hamna mtu ambae ana akili zake akawa amedeclare kuwa yeye ni open enemy wa Dola yeyote hapa duniani.

Saudi Arabia is the heart of Islam, wenye kubweka wataishia kubweka lakini mziki wa Saudia wanaujua.
SI KWA SASA.
 
KUPIGA HAWAWEZI KWA SABABU MSHIRIKA WAKE MKUU NI USA AMBAYE ANATUMIA JUHUDI ZOTE KUUA HUO UISLAM

Saudia is the heart of Islam. Waislamu wanaposwali huwa wanaelekeza nyuso zao Saudia, Ibaada ya nguzo ya tano ambayo ni hijja which it is a must without any replacement huwa inafanyika Saudia, kuna ibada ya Umra lazima ifanyike Saudia na si sehemu nyingine yeyote duniani hata iwe kwa mazingira yeyote, Saudia ndio kuna misikiti mitukufu miwili kuliko yote Duniani, Saudia ndiyo kuna miji miwili mitakatifu Zaidi duniani na mambo mengine meengi
 
Hizo factors zina remain constant forever. Ila utawala wa Saudi si waki ISLAM
 
KUPIGA HAWAWEZI KWA SABABU MSHIRIKA WAKE MKUU NI USA AMBAYE ANATUMIA JUHUDI ZOTE KUUA HUO UISLAM

Kuua Uislam watatamani sana, hizo hela wanaji"deprive" tu na mambo ya msingi wanaweza kufanyia, unaweza kuua uislam ambao una miaka karibia 1400? Yaani wewe umekuja kuwepo baada ya wenyewe kuwepo kwa Zaidi ya miaka 1000!!!
Hizo factors zina remain constant forever. Ila utawala wa Saudi si waki ISLAM

Wewe ni mshia? Tuanzie hapo tafadhali
 
Saudia wamefanya hivyo kwa makusudi kuonyesha watu kuwa wao ni untouchables

King Salman aliweka ndani ya hotel kama jela ndugu zake wa damu na second to the throne ambae alikua cousin yake akanyang'anywa ufalme kwa hiana na kuwekwa kizuizini

Safari hii dunia ina viongozi kiboko kuanzia kina duterte, Putin, Modi, na Kiduku na bila kumsahau Trump.

Saudia hatafanywa kitu maana kama ni kuzuiwa angezuiwa kuuwa wayemeni wasiokuwa na hatia.

Yote hii ni kwa sababu ya biashara na mataifa makubwa
Biashara zao kina USA, UK, France,na German wanamtegemea kwa kukuza uchumi wao, kwa hiyo hawatamgusa

Pesa mwanaharamu
 
Back
Top Bottom