Jamaaniiii eeeeeeeh ulevi nomaaaaaaaaaa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
LUNCH NJEMA WAPENDWA MSIGUSE HII MAMBO WAKATI WA KAZI
IMG_8003.JPG
 
wamasai ni vichwa panzi .... tena usiombee uwe na sherehe wawepo .... utaaibika
 
kachanganya na ugoro.mmasai akinywa castle milk stout(CMS)moja tu lazima alale.hiyo style aliyo lala inafurahisha,amemshikilia mzee asitoloke.mia
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Wamasai wamekuwa malimbukeni kweli na maisha ya mjini duh! Hapo yupo lindo. Kazi kweli kweli.

<img src="http://4.bp.blogspot.com/-t4Kt-TNSaTg/TmfITnrsBdI/AAAAAAAAX94/-pTH7A0v3ag/s1600/IMG_8003.JPG" border="0" alt="" />
<br />
<br />
 
Huyu ndio yule jamaa tunayemsikiaga kwenye redio alivyolewa akaingia chumba cha mama mukwe??
 
daaaah wajameni giv the guy a break..m2 wa watu alikuwa ana stres 2 za kimaisha..
 
Back
Top Bottom