Jamaanii kuku kamaliza debe la mahindi,karanga

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,758
437
Jamani kuku kamaliza debe la mahindi,Niliaaza taratibu kumlushia mbegu za mahindi nilishutuka debe limekwisha ,hivyo hivyo kamaliza debe la karanga.Kuku huyu sasa kanenepa sana kapendeza sana na anavutikia kila kona anakopita.Kuku huyu kila inapofika siku ya kuliwa au kuchinjwa,utasikia kuku anaumwa tumbo,kuku ameshikwa na ungonjwa wa mafua.mala kuku anaendesha kila saaa.Kuku huyu utasikia akisema nipo mwezini, sikukuu hikifika hili aliwe kuku amekuwa anaruka kwa sababu ya mabawa yake.
Sasa waungwana na debe la mtama limefika nusu bado kuku ataki kuliwa,Tatito kubwa la kuku huyu kila asubuhi anapoamuka utasikia analalamika kuomba nimrushie mtama au nimpunguzie mtama.
Kuku huyu siku zinafika kuliwa kitoeo na kila zana zakumchinja zimeandaliwa,maji ya moto ya kumnyonyolea pia na grovis lakini kuku huyu anapotea mtaaa ataonekana jioni kuja kulala bandani kwake.?
Sasa kuku huyu ataliwa kubudu siku ikifika.

Baada ya kupata ushauri wa wadau nilisitisha kutoa mbegu kwa kuku huyo.
Wiki ikapita nikasikia kuku analalamika kudai mbegu kama alivyozoeya.
Nikazidisha ukimia,Kuku kaomba kuonana mami,nikatoa nje,kama kawaida akab nami sikukooa,
Kuku kumbe ni wakufungwa nilihisi ni wakienyeji anawezakujitafutia chakula wapi,
Kuku njaaa ikazidi,kaomba mwenye nimfaute na wapi anikute.
Nikagoma mbengu sitoe,wala sirushi,na sipigi.
Nilizoea kumpatia karanga ,mahindi,na mtama,nikabadiri nikamtupia ulezi akala kwa tamaaa ya kukosa mbengu,
Taratibu nilisha mwandalia theta kwa oparation, kuku akapatia hudumu takatifu.
Sasa hakuna mbegu tena kila siku kuku anataka ulezi,
Niwashukuru wote niliyotoa ushari
Ramadhan njema

hahahahahahahaha,,, siku utashtukia imebaki mifupa bla hta kuonja minofu,, pole zako.
 
Aahahhahahahah! the words used are crazy, kuku bado anataka invoice ili mzigo utolewe bandarini.
 
Mkuu huyo ni kuku poli. Huyo kuku hafugiki. Ukiona hivyo ujue anakula kwako na kulala polini. Mia
 
  • Thanks
Reactions: LD
wenye kuku wala hawaitaji manati asubui anaenda kutafuta chakula jioni anarudi bandani kulala mwisho wa siku utasikia vifaranga vinalia kuku katotoa kapata jogoo la jirani lililo bora.

wewe endelea kumtupia mtama na mahindi usisahau kumwekea bakuli la maji ya kunywa akimaliza kula ashuhie chakula akalale...
ushauri...fungua banda weka chambo cha mtama na mahindi akiingia ndani funga nyoyoa manyoa atabaki kuwa wako ukizubaa wenzio watamnyoyoa mbawa na kumtotolesha :llama: :llama:
 
Jamani kuku kamaliza debe la mahindi,Niliaaza taratibu kumlushia mbegu za mahindi nilishutuka debe limekwisha ,hivyo hivyo kamaliza debe la karanga.Kuku huyu sasa kanenepa sana kapendeza sana na anavutikia kila kona anakopita.Kuku huyu kila inapofika siku ya kuliwa au kuchinjwa,utasikia kuku anaumwa tumbo,kuku ameshikwa na ungonjwa wa mafua.mala kuku anaendesha kila saaa.Kuku huyu utasikia akisema nipo mwezini, sikukuu hikifika hili aliwe kuku amekuwa anaruka kwa sababu ya mabawa yake.
Sasa waungwana na debe la mtama limefika nusu bado kuku ataki kuliwa,Tatito kubwa la kuku huyu kila asubuhi anapoamuka utasikia analalamika kuomba nimrushie mtama au nimpunguzie mtama.
Kuku huyu siku zinafika kuliwa kitoeo na kila zana zakumchinja zimeandaliwa,maji ya moto ya kumnyonyolea pia na grovis lakini kuku huyu anapotea mtaaa ataonekana jioni kuja kulala bandani kwake.?
Sasa kuku huyu ataliwa kubudu siku ikifika/

Inawezekana kuku wako unawalishia jirani zako, pole sana! Angalia huko kuku wako anakopenda kutembelea akiwa anatafuta kitu cha kutafuna, inawezakana pia ikawa ameshamaliza na madebe ya mtama na karanga za jirani yako, na wenzio ndo wameshamchinja!
By the way, kuchinja kuku ni mpaka umpe debe zima la mtama na karanga??!
Tafakari!
 
Tatizo hapo sasa kumnyooyoa mabawa hili asiruke hapatikani.
 
Inawezekana kuku wako unawalishia jirani zako, pole sana! Angalia huko kuku wako anakopenda kutembelea akiwa anatafuta kitu cha kutafuna, inawezakana pia ikawa ameshamaliza na madebe ya mtama na karanga za jirani yako, na wenzio ndo wameshamchinja!
By the way, kuchinja kuku ni mpaka umpe debe zima la mtama na karanga??!
Tafakari!
Sasa hapo nitanyeje?
Kuku huyu atakiwa kachinjwa na wangine siyo tatizo ni vigumu kupata kuku ambaye ajachinjwa kwa mida hii.
 
we kazana kulisha, wenzio wanakula mpaka mayai ambayo hata hujaanza kuyapandikiza na ukijashtuka hata bandama za kuku watakuwa wamemaliza.
 
You made ma day! Hakika huyu si kuku tena uyo atakuwa popo tena ogopa anaelekea kuwa na bawa na kuwa popo bawa
sasa mkuu we fikili kaisha kula debe la mahindi,debe la karanga na sasa la mtama limefikia nusu.
Washauri mbengu zangu zipoteee hivi hivi sibora ningesipanda kwingine.?
 
we kazana kulisha, wenzio wanakula mpaka mayai ambayo hata hujaanza kuyapandikiza na ukijashtuka hata bandama za kuku watakuwa wamemaliza.
Kuku huyu mayai bado ajataga iweje wenzangu wale mayai?
Cha ajabu kuku huyu mwanzo aliruka banda lao na kutua kwenye banda langu mwenye
 
Inawezekana kuku wako unawalishia jirani zako, pole sana! Angalia huko kuku wako anakopenda kutembelea akiwa anatafuta kitu cha kutafuna, inawezakana pia ikawa ameshamaliza na madebe ya mtama na karanga za jirani yako, na wenzio ndo wameshamchinja!
By the way, kuchinja kuku ni mpaka umpe debe zima la mtama na karanga??!
Tafakari!

Sasa hapo nitanyeje?
Kuku huyu atakiwa kachinjwa na wangine siyo tatizo ni vigumu kupata kuku ambaye ajachinjwa kwa mida hii.

Sasa kama kuku mwenyewe hachinjiki utafanyaje? Angalia, usilazimishe kuchinja kuku utapelekwa mahakamani na kufungwa miaka 30 kwa kosa la kumchinja kuku bila ridhaa yake! Tafuta kuku mwingine, mbona wako wengi! Tena huyu atakufilisi bure, hivi tu umemaliza debe zima la karanga na jingine la mahindi kabla ya kuchinja, je ukichinja si atamaliza gunia zima kwa siku? Kuna maendeleo hapo tena?
Tafakari!
 
Jamani kuku kamaliza debe la mahindi,Niliaaza taratibu kumlushia mbegu za mahindi nilishutuka debe limekwisha ,hivyo hivyo kamaliza debe la karanga.Kuku huyu sasa kanenepa sana kapendeza sana na anavutikia kila kona anakopita.Kuku huyu kila inapofika siku ya kuliwa au kuchinjwa,utasikia kuku anaumwa tumbo,kuku ameshikwa na ungonjwa wa mafua.mala kuku anaendesha kila saaa.Kuku huyu utasikia akisema nipo mwezini, sikukuu hikifika hili aliwe kuku amekuwa anaruka kwa sababu ya mabawa yake.
Sasa waungwana na debe la mtama limefika nusu bado kuku ataki kuliwa,Tatito kubwa la kuku huyu kila asubuhi anapoamuka utasikia analalamika kuomba nimrushie mtama au nimpunguzie mtama.
Kuku huyu siku zinafika kuliwa kitoeo na kila zana zakumchinja zimeandaliwa,maji ya moto ya kumnyonyolea pia na grovis lakini kuku huyu anapotea mtaaa ataonekana jioni kuja kulala bandani kwake.?
Sasa kuku huyu ataliwa kubudu siku ikifika/
Huyu kuku nimfanyeje???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom