Jamaa kaliwa elfu 25 na mdada

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Igweeeeeeeeee,

Ndugu zangu kuna jamaaa angu mmoja kaliwa elfu 25000 na msichana alimuomba asuke ili waonane,

Msichana alitumiwa hio pesa alisuka baada ya kusuka jamaaa akampanga msichana huyu aje ili ale na mzigo na kumuahidi ahadi hewa kuwa akija atampa pesa ya matumizi kwani anatarajia kusafiri za kumsaidia huyo msichana kwani atakaaa two weeks, msichana akamjibu kuwa yuko period hivo asitafute lodge atafute sehem ingine to waongeee ili aachiwe na mkwanja mwingine.

Ndugu zangu jamaaa akapaona atapigwa hela tena akamwambia tutaonana nikirudi .

Jamaaa amekaaa kama siku 7 akamwambia msichana nimerudi nimekuletea zawadi msichana akawa anamjibu sitaki zawadi kwa nyodo badae msichana huyo akamwambia niache

Wakuuu jamaaa ananiuliza atumie mbinu gani amle au ampigie arudishe pesa zake
 
Jamaa amezingua... Angemwambia aje hivyohivyo akiwa hedhi.

Kama kweli demu ana-fake ingejulikana na angekula mzigo kiroho safi.

Vijana mnakwama wapi siku hizi?
 
Nitumie hela nikasuke ndo nije! Na ukatuma kweli! Kwani msuko wa nywele ndo papuchi!
 
Igweeeeeeeeee,

Ndugu zangu kuna jamaaa angu mmoja kaliwa elfu 25000 na demu alimuomba asuke ili waonane,

Ndugu zangu jamaaa akapaona atapigwa hela tena akamwambia tutaonana nikirudi

Wakuuu jamaaa ananiuliza atumie mbinu gani amle au ampigie arudishe pesa zake
Atoe 25,000 nyingine ya kusuka tena mchakato uanze upya
 
Kuna vitu vingine vya kujitakia. Pale unapoombwa pesa ya kusukia inapaswa uulize kwani bila ya msuko mpya viungo vingine vingine havifanyi kazi?

Mwanamke anapoanza kukuwekea masharti ya malipo aidha ya moja kwa moja au ya visingizio vya uhitaji wa vitu vinavyotaka pesa ndio mkutane, tayari keshakuchukulia ni buzi lake hivyo hapo kuwa tayari kwa lolote.

Hiyo 25 ni ndogo mno. Kuna watu wanakata mpaka ticket za ndege lakini wasiambulie hata ukope, hivyo chukulia ni ajali kazini kama vile kununua nyanya mbovu tu kwenye fungu la nyanya nzima.
 
nakushukuru sana kwa ushauri ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom