Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

Bongo ngoma ama hepatitis kupata rahisi sana..

Ukipiga malaya hawazidi 10 kavu kavu na swaga kama unapiga mkeo .. lazima utoke na kitu
Na huyu jamaa akishakunywa madem hawamkatai...hatom.bag malay kwa mujib wake..anasema yeye anakulaga hawa hawa wa viwanja tu..dah..hali tete
 
Alijua kwa kuwa ni mzungu hawezi kuukwaa?!!!

Huyo jamaa yako alishajijua anao toka huko Italy.....

Labda tu amepata maambukizi mapya......

KUPANGA NI KUCHAGUA
Duh.bas kama alijua itakua alikua anafanya maksud...mbaya sana...kuna kipind nilimwambia anitaftie mtoto m1 wa kizungu katika circle yake....akakubal kabisa...ila ikatokea tu hilo swala halikufanikiwa.....dah namii ningeukwaa aisee..daah
 
Ukiona hawasisitizi tayari hawana uhakika na afya zao. Mwanamke anayejijua yupo salama hata ukivaa atashika ahakikishe ni kweli umevaa.
Huyo ni wew ambae uko makin..weng ukishakua nae mmeshirik zaid ya mara kadhaa na upo nae kwenye uhusiano zaid ya miez kadhaa..baaas..anakuamin na hapo ndo utashangaa ule woga wake unakwisha kabisa..na ataanza vineno vya kua znamuumiza.....sjui inakuaje hawaogop
 
Mkuu nikuambie kitu....

Wengi wa wataliano ni wazungu wanaoishi maisha ya kujiachia(ovyo ovyo)....hulka zao ndizo ziko hivyo...ni tofauti sana na wazungu wa MAGHARIBI NA SCANDINAVIA....hao jamaa ndio WANAOONGOZA kufanya biashara zote za haramu.....

Huyo swahiba yako si mkweli....alishakuwa nao ukimwi...pengine tokea kwao...sasa labda anakuondoa njiani tu.....

La kusikitisha tu ameshautapanya na kuupaka kwa DADA ZETU huko Kidimbwi na Zenji.....

Daaah najaribu kufikiria jinsi akina VERO NA KHADIJAH wanavyowashobokea wazungu....huwezi kujua miongoni mwao ni mademu wa ndugu zetu....daah
 
Na nahis wao ndo wanaambukiza sana watu
Mkuu ndio maana NGOMA iko juu sana kwa KE zaidi ya ME....ukiacha sababu za maumbile yao kupata kirahisi pia kuna mchango mkubwa wa wao KUJIACHIA......

Hebu jaribu kufanya kautafiti kwa VIJANA WA KIUME 15-24 kama utakuta wengi wao waneshawahi kuwa na wapenzi zaidi ya 10....halafu angazia kundi la mabinti 15-24 uone wameshakutana na wangapi.....utashangazwa kuijua IDADI YA SEXUAL PARTNERS WAO though machoni wanaonekana WATULIVU na "KAMWE" hawatokiri kuwa na MULTIPLE SEXUAL PARTNERS 🤣🤣🤣
 
Huyo ni wew ambae uko makin..weng ukishakua nae mmeshirik zaid ya mara kadhaa na upo nae kwenye uhusiano zaid ya miez kadhaa..baaas..anakuamin na hapo ndo utashangaa ule woga wake unakwisha kabisa..na ataanza vineno vya kua znamuumiza.....sjui inakuaje hawaogop
🤣🤣
 
Ukiona hawasisitizi tayari hawana uhakika na afya zao. Mwanamke anayejijua yupo salama hata ukivaa atashika ahakikishe ni kweli umevaa.
Sawa....

Mkuu unaongelea uhalisia wa WANAWAKE hawa wenye umri wa 15-24 huko uswazi mitaani!!

Unaongelea na mabinti wa shule za sekondari ,vyuo vya Kati na vyuo vikuu?
 
Anatia huruma mwamba...analia tu..halaf bado umri mdogo tu..29...ila dah maisha haya....yaan huyu jamaa ndo alikua the real definition ya ma.laya....kuna stor zingne anakuhadithia unabak unashangaa ..zingne si tumeona kwenye porn.mwamba had 4sum anapiga..

REAP WHAT YOU SOW! Akaandike kitabu cha maonyo akiwa kitandani sasa
 
Back
Top Bottom