Jamaa yamemkuta

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Nimesikiliza leo katika kipindi cha pata pata Wapo radio kuna jamaa mbezi juu alikuwa na nyeti ndogo kila akioa wanawake wanamkimbia alipo pata mke wa nne rafiki yake akamshauri atumie dawa za kichina apake mara 2 nyeti zitanenepa na kweli baada ya siku kadhaa mambo yakawa mazuri jamaa akawa anamridhisha mke wake alichokosea akazidisha akaendelea kupaka tu nyeti sasa zimevimba mithili ya kiloba cha unga wa azam anashindwa kutembea yeye analala tu na mwanamke amemkimbia anadai zina uzito wa kilo 9.
Mapenzi kweli mazito.
 
Dah mkuu hapo kazi kelikweli!!
 
Jamani, Watanzania tumekumbwa na Pepo wa namna gani? Tumekuwa ni soko mjinga kweli kweli. Daktari Ndodi pamoja na jitihada zake za kuongea kwenye luninga na radio kuhusu kuridhika kwa mwanamke, ya kwamba hakuhitaji ukubwa wa maumbile ya mwanaume bado watu wanapanga foleni kwa Wachina ili kununua matatizo.
Jamani, Watanganyika wenzetu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Vipo vitabu mpaka vya kiswahili vinavyoongelea mambo ya ndoa kwa kina kabisa. Tatizo linakuwa ni watu kupenda njia za mkato ktk kutatua matatizo yao; na tabia ya kuendekeza kupata ushauri kwa watu wasiyokuwa na weledi wowote wa mambo ambayo mhusika anatafuta ushauri wake.
 
we have to face what we do in our lives,
kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,

mkuu ila umenichekesha kama kiloba cha azam?
 
Wakuu hii story ni ya kweli kabisa jamaa yamemkuba yaani bora ya busha alafu anapata maumivu makali.
 
Pole zake,,,, waswahili wanasema MUONJA ASALI HUCHONGA MZINGA, kwahiyo huyo jamaa kaonja asali na akamalizia kwa kuuchonga kabisaaa acha nyuki sasa wamuume!
 
duh pole yake!!ila mi sijaelewa mambo mawili...status ya uume ni either ikiwa imelala au imesimama..hiyo status ya kama 'kiloba cha azam' ni kwa wakati upi maana wantisha...la pili anajiskia hamu ya tendo?..mi naona awahi kwa madaktari bingwa hatakosa kipoozeo...ila its a high time now we need a Chinese represantatives wa hayo madawa jamani...for advice na mambo mengine kama haya yaliyomfika jamaa..na wabongo tumezidi!!too much iz harmfull mi kaniuz sana...Dr Ndod una safari ndefu!!!!!
 
duh si arudi kwa wachina sasa wakarewind jamani kwanini wanakimbilia wachina wanaacha wataalamu wa kwetu hapa wazuri tu mitishamba
 
duh si arudi kwa wachina sasa wakarewind jamani kwanini wanakimbilia wachina wanaacha wataalamu wa kwetu hapa wazuri tu mitishamba

Ni kweli mitishamba inasaidia?
Maana za mchina watu wanaona mafanikio za wamasai hakuna kitu wizi mtupu.
 
hivi jamani, nasikia tu watu wakilalama eti nyeti ndogo, kwani nyeti ndogo zikoje? zinaurefu gani? zina unene gani? sasa nyeti ya ukubwa gani ndiyo inasemekana ni ya wastani?
 
Ni kweli mitishamba inasaidia?
Maana za mchina watu wanaona mafanikio za wamasai hakuna kitu wizi mtupu.

sijajaribu mkuu ila nasikilizaga redio na tv jamaa wanatangazaga live wanafanya one day nitawatembelea nijionee mwenyewe alafu nitaleta majb hapa.

hawa wachina watatumalizia ndg zetu sasa
 
hivi jamani, nasikia tu watu wakilalama eti nyeti ndogo, kwani nyeti ndogo zikoje? zinaurefu gani? zina unene gani? sasa nyeti ya ukubwa gani ndiyo inasemekana ni ya wastani?

kwa kweli pape na mm natakakujua hope magreatthinker watatusaidia hapa
 
hivi jamani, nasikia tu watu wakilalama eti nyeti ndogo, kwani nyeti ndogo zikoje? zinaurefu gani? zina unene gani? sasa nyeti ya ukubwa gani ndiyo inasemekana ni ya wastani?

Wanawake ndo wanalalamika nyeti ndogo ukilinganisha na umbile lake yeye mwanamke lakini kama ndo unazindua mwenyewe kitu kinafit lakini wakipita wenzio lazima kuwe kunatofauti hapo size zinatofautiana n'tu na n'tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom