Jamaa nimemsamehe kwa ukweli wake mchungu. Mke wangu simuelewi

nenda huko mahakaman ukapate ukweli moyo wako utulie, huyo mkeo anatumia ile janja ya mwizi hata akikutwa na alichoiba anakana mpaka dakika ya mwisho asijulikane kama kaiba, sasa hadmtu anakueleza ametembea na mkeo nn tena unataka?? wanawake wengine bwana sjui mnawaokotaga wapi.
Then akishaupata a afanyaje? Mie naona the best thing hapa ni Kupotezea tu.. Maisha yaende..

Chagueni vitu vya kuwaumiza
 
Polee sanaa..ila mkeo atakuja kukusababishia matatizo makubwa sanaaaa..mkabili mapema
Maisha ni kujipa muda kwa Kila jambo gumu kwako.ila pia si kweli kuwa alichepuka Kuna kisa kingine kabisa mpaka ikawa ilivyokuwa
 
Then akishaupata a afanyaje? Mie naona the best thing hapa ni Kupotezea tu.. Maisha yaende..

Chagueni vitu vya kuwaumiza
Wewe ni type ya mwanaume,ki ukweli hakuchepuka na uwakika niliupata but nilikuwa nimeshachelewa,na nishafanya maamuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom