Jamaa nimegundua jinsi ya kutabiri kifo..!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa nimegundua jinsi ya kutabiri kifo..!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by DEVINE, Mar 16, 2012.

 1. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hii sio masihara,nimekutana na mbibi mmoja jana jioni wakati natoka miangaikoni,baada ya kumsalimia tukaanza stori kwani wote tulikuwa tunaelekea njia moja. Katikati ya stori akaniauliza kama najua jinsi ya kutabiri kifo.Sio siri niliogopa nikamjibu hapana,sasa baada ya kumjibu tu akaanza lecture. Akaniambia mtu ufa siku chache kabla ya tarehe ya kuzaliwa au baada ya tarehe ya kuzaliwa au inawezekana ni mwezi tofauti ila ni tarehe chache kutoka tarehe ya kuzaliwa au baada,tena anaweza kufa siku chache tangu ajitabirie kifo yaani mtu kesha sema yeye ni wakufa tu yaani ameshakata tamaa ya kuishi.Kama ni msanii ni siku au miezi michache eidha kaimba au kaandika au kaigiza au kachora kifo chake...Dah sikutaka nijue zaidi nilimkatisha yule bibi,lakini akasisitiza labda tu awe amejiua au ameuawa,aisee ilitokea nimebadili njia ilimradi nisiendelee kusikia maneno ya yule bibi...Jamani mie hata sitaki kuamini,ivi yanaukweli maneno hayo ya bibi? Nawasilisha.
   
 2. salito

  salito JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  mhhh??
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yana ukweli ndiyo!
  Mbona wala sio big issue ? Hata kama wewe unataka nikutajie siku yako ntumie tr. yako ya kuzaliwa, nikufahamishe now! now !
   
 4. S

  Skype JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ngoja nicheki hadidu za rejea hapa nikijiridhisha ntakuja kuunga mkono.
  1. Tx Moshi
  2. Dr Remy Ongara
  3. JK Nyerere
  4. ....
  5. ....
  Naendelea kupekua ili kulinganisha maelezo.
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  nitarudi kusoma tarehe za kufa.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Some truth kwa mbaaaali sana.
  Hapo kwenye kuongelea kifo kifo, nadhani Israel huwa nakuwa anamzungukia zungukia.
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhhh me simo.
   
 8. S

  Skype JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Habari ya wewe? Uzima upo? Salimia wote.
   
 9. S

  Skype JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Utajuaje kwamba ndo siku zako za kufa?
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hivi Yule muasisi wakundi la East coast bado yupo hai?? Maana aliwah kuachia kibao cha NITAKUFAJE..., Na wale dazinundazi nao waliima ule wimbo wa KAMANDA ulikuwa na mahadhi ya kifo sa sijui bado wako hai.
   
 11. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anza ya kwako
   
 12. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fanya fanya basi niujue ukweli
   
 13. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa usisahau
   
 14. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnh kam ni crayz Gk kafaka kimziki,na hao daznunda pia vilevile
   
 15. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kumbe kimziki, maana mtoa mada kasema msanii akijitabiria kifo basi anaweza kufa baada ya muda mfup toka kuandika, au kucheza filam au wimbo
   
 16. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 798
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  kwenye rejea zako usimuweke NYERERE, kwani huyu akufa natural death bali kauliwa na Mkapa.
   
 17. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa kwa mujibu wa bibi,ila kwa mtazamo wangu wamekufa kimziki
   
 18. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haaa kumbee!
   
 19. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  uchawi tu!!!!
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Devine kifo ni fumbo la imani.
   
Loading...