Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

east afrika nchi ni nyingine kwanin mnapenda kucompare Kenya na Tanzania kwani tu kwani izo zingine sio nchi ?acheni madharau .
 
watanganyika wanapenda sana kujiringanisha na kenya, sababu, hadi ujiringanishe na nchi inayokupa challenge ndo uzi iwe na maana na pia ili ipate kunoga zaidi.. yani kwao itakua ni ku waste tyme kujibeba na nchi kama uganda ama rwanda hivi.. hehe.. 😆
 
east afrika nchi ni nyingine kwanin mnapenda kucompare Kenya na Tanzania kwani tu kwani izo zingine sio nchi ?acheni madharau .
Sasa Uganda na Rwanda pia ni nchi za kujilinganisha nazo?
 
IMG_20220422_190113_920.jpg
IMG_20220422_190113_920.jpg
 
Back
Top Bottom